Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kama kirefu cha initial A kina G moja basi akabadili taarifa za nida nazani ni 30k

Ila kama initial ina G mbili basi akabadili cheti cha kuzaliwa hii kwenye 10k hivi

Asiangalie gharama aangalie usahihi wa taarifa zake.

Kwa haraka haraka nazani shida ipo kwenye nida maana kama alikuwa registered sehemu tofauti tofauti kwa kutumia cheti icho icho cha kuzaliwa na majina ayo ayo basi shida itakuwa nida.
 
Anasema kwote ni AMOS AGGREY MATHIAS kasoro cheti cha kuzaliwa ndio AMOS AGREY MATHIAS
 
Hongera sana
mfwende sawadogo mzee uliyepiga Usaili PT,UT na kwingineko.Lakini huko kote Mungu hakupanga,huku ulikopata sasa ndio Mungu alipanga,ambako hukutumia hata Connection yoyote ile.Hakika Kila mmoja tumeona uzuri wa PSRS.
Kapige kazi,uwe mtumishi mwema,jishushe kwa uliowakuta jua kazi na Ongeza Kitu huko ulikopangwa.
Big up Champion Mzee wa Manyoni...
Bila shaka Yule mchumba wetu hawezi kukimbia sasa
 
Thank u champ, wkati wa MUNGU ndio wakati sahihi.namimi leo nimtumishi

sitaki kuwakumbusha watu moto ule wa UT&PT.

nawaombea wana wote wanao haso kutafuta ajira utawala huu wa maza, hitaji lao lifanikiwe.
 
Tamisemi wametangaza kazi za mkataba kupitia PSRS. Hizo zinazojiita taasisi kwanini zishindwe kutangaza kazi za mkataba? Tanzania inahitaji kiongozi mmoja tu imara mwenye msimamo taasisi zote zingenyooka.
"KNOW WHO" imekuwa kubwa sana. Hata hizo za TRA mnazosubiria mtaona maajabu. Watu hawana uzoefu wa kuajiri ila wanalazimisha. Waliofanya interview Udsm-Yombo wameona. Muda wa kukusanya wengine wanaandika, wengine wamewasha simu na mitihani wanayo mkononi, wengine wako kwenye foleni ya kukusanya, wengine foleni ya kusain out. Kusimamia mtihani na kutunga mtihani in ujuzi ambao walimu wanasomea miaka 3. Sio kila mtu anaweza kirahisi hivyo.
Mkuu kuna changamoto nyingi sana mkuu, Ila jibu la uhakika wawaachie Tu PSRS waendeshe michakato yote ya Ajira. hiyo ni Janja Janja Tu yakukamilisha kupitisha watu wao, tutashuhudia mengi Sana na wataumbuka Tu...
 
PSRS walishajua kuwa taasisi wameingia kwenye 18 kwa uwepo wao( psrs), wakati taasis zikipiga figisu wao utumishi wanatoa elimu kwenye vyombo vya habari. Am sure wahuni wote watarudi PSRS ikiwemo TRA na wenzao. Ni mwendo wa mikando mpaka wanyooke.

IT shusha pdf la weekend 💥💥💥 wapatikane vijana wakuambatana na legendary jenerari sawadogo😃😃😃
 
Waturudi Tu mbona PSRS, wacha tuendelee kusubiri, IT Mtu wetu
 
Madini...

Daaaah! Prof. Janabi umenikumbusha mbali sana. Hili wazo naona watu humu hawakuamua kulitendea haki kabisa hasa kwa namna limekaa kimtego sana.

Swali ni je, ni kipi kinafuata baada ya watu humu kuwa kwenye ajira?

Kuwapa faraja wengine wanaosaka ajira ni muhimu sana. Lakini ni kweli hakuna kingine tunachoweza kufanya zaidi ya hicho?

Kupitia hii njiapanda au stendi watu wanaelekea taasisi nyingi sana ambazo wenye ajira na wasio na ajira wanaweza wakahitaji wenyeji huko. Na ingeleta maana sana kama unakutana na mtu ambaye undugu wenu umechimbukia humu.

NB: Ukichunguza utagundua wanaopata placements na wakaamua kuendelea kubaki humu ni wachache sana. Siwalaumu nadhani ni vile wanakosa tena faida ya moja kwa moja ya kuendelea kuwemo. Ndio maana nawaza namna tuufanye huu uzi uwe valid nyakati zote, kabla na baada ya kupata ajira.
 
Back
Top Bottom