Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wewe unafanya kazi TCRA? una kampuni ya software? au una ndugu mwenye hizo sifa hapo juu? Narudia tena kama hautakuwa na plan nzuri ya maendeleo hata ukipewa mshahara mkubwa kiasi gani utakuwa bogus tu.

Kuna watu wamefanya kazi mfano TANESCO dar miaka 5 hawajahi kumiliki asset yoyote lakini Mtendaji ka kata Kongwa ana Nyumba 2 na Noah ya biashara.

Msiwadharau watu wa TGS fanyeni utafiti wa kutosha. Hela huwa haitoshi hasa maeneo ya mijini the more you earn the more unaongeza matumizi akili mtu wangu.
Unajua watu wanaongeaga tu, siku zote maendeleo ni akili zako mwenyewe na namna unavyojipanga au hujawahi ona mtu mwenye mshahara mkubwa anaenda kumlilia mwenye mshahara mdogo amkopeshe hela, sasa sisi tuliopo huku kwenye field ndiyo tunayashuhudia hayo mambo.
 
nje ya mada wakuu, unaweza npm kwa msaada personal zaid maana nafahamu hapa ndio chaka la wataalam

mdogo wangu alikua jkt application za vyuo nime mfanyia mimi.

kipengele kilichopo sasa ni kwa hawa wakuu loan Board(heslb)

mwanzo nilipocheki kwa account nilikutana na neno congratulation sawadogo your account is ready verified,wait for allocation process.

jana usiku,nimepata notification kuwa sawadogo badilisha taarifa zako sehemu fulani! naukicheki ziko poa tu vp wakuu namna moja ama nyingine hkuna aliye face hili tatizo?
 
Kwa mujibu wa baadhi ya watu wanasema ni tatizo la kimtandao maana hata baadhi ya ambao wako chuoni na wanapokea mkopo wametumiwa hiyo txt. Ila kwa uhakika zaidi check hiyo account kama iko sawa au wapigie loan board
 
Wakuu kwema?? Hii imekaaje wakuu tumepiga written leo utumishi lakini kwenye account tumeandikiwa not selected wakati PDF la marks hawajatoa hii imekaaje asee na paper kiukweli ilikuwa normal tu na oral ni baadae leo samoja asubuhi hii imekaaje au Kuna mtu humu alishakumbana na hii Hali kwanini wasitoe PDF la marks???????
 
Nadhani cheki matokeo kwenye website
 
Wakuu kwema?? Hii imekaaje wakuu tumepiga written leo utumishi lakini kwenye account tumeandikiwa not selected wakati PDF la marks hawajatoa hii imekaaje asee na paper kiukweli ilikuwa normal tu na oral ni baadae leo samoja asubuhi hii imekaaje au Kuna mtu humu alishakumbana na hii Hali kwanini wasitoe PDF la marks???????
Hiyo tayali ushakandwa, jipange kwa mapambano mengine !

NB; MATOKEO YANAANZAGA KUTOKA KWENYE ACCOUNT YAKO THEN PDF INAFATA
 
Wakuu kwema?? Hii imekaaje wakuu tumepiga written leo utumishi lakini kwenye account tumeandikiwa not selected wakati PDF la marks hawajatoa hii imekaaje asee na paper kiukweli ilikuwa normal tu na oral ni baadae leo samoja asubuhi hii imekaaje au Kuna mtu humu alishakumbana na hii Hali kwanini wasitoe PDF la marks???????
Hiyo imekula jamaa, hata sisi tumepitia hiyo, unasubiri pdf hadi saa nane usiku ili kuhakiki kwamba umekandwa sawa,sawa , sema pepa ya utumishi huwa siyo normal ni technical sana so inahitaji upeo sana kujibu written yao.

Mapambano yaendelee.
 
Daaaaah hakuna kipindii niliumia Sana kama kuona status NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW wakatii nimetumia pesaa karibiaa lakii mbilii kusafiri na kukaa Dodoma,nimesomaa kwa zaidii ya miezii miwilii,it was so painful for me, Namuomba Mungu anisaidiee siku moja nilambe asali nisahau Yale maumivu
 
Pole sana, sema unapata uzoefu pia, tatizo la wengi kwenye written ya utumishi ni kujibu zile pepa zao.

Mara nyingi huwa wanataka vitu direct, short and clear.

Mwenyewe mara ya kwanza napiga pepa yao sikujua namna nzuri ya kujibu, unasikia zimebaki dakika 10 na upo swali pili kati ya maswali manne.

Wengine tumekosa maksi moja kuingia oral

Yaani kila mtu ana mkasa wake ws kuumiza kuhusu psrs, kikubwa ni kupiga moyo konde na kujipanga upya, so kuna kusoma na kujibu pepa ya psrs.
 
Daaaah tuzidii Kumuomba Mungu kiukwelii ipo siku tutatoboa
 
Daaaaah hakuna kipindii niliumia Sana kama kuona status NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW wakatii nimetumia pesaa karibiaa lakii mbilii kusafiri na kukaa Dodoma,nimesomaa kwa zaidii ya miezii miwilii,it was so painful for me, Namuomba Mungu anisaidiee siku moja nilambe asali nisahau Yale maumivu
Hakuna linaloshindikana mwamba Mimi pia nilikuwa najiandaa lakini nikienda kupiga pepa naishia written tu nilikuwa naumia sana lakini ni mwaka huu nimepiga moja tu nikalamba asali usikate tamaa mdau
 
Back
Top Bottom