Moment of silent
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 813
- 1,402
Hongera sana, ukawe mtumishi mwema.Mungu ni Mwema ,,nami nimefanikiwa kulamba Asali ....GOD DID THIS,
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hongera sana, ukawe mtumishi mwema.Mungu ni Mwema ,,nami nimefanikiwa kulamba Asali ....GOD DID THIS,
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hongera sana mwamba!Mungu ni Mwema ,,nami nimefanikiwa kulamba Asali ....GOD DID THIS,
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hongera sana brotherMungu ni Mwema ,,nami nimefanikiwa kulamba Asali ....GOD DID THIS,
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hongera sana!! Kumbuka kuwaombea wanaoendelea kupambana!! Kajitahidi kluwa mtumishi mwema!!
Tuendelee kuwa wavumilivu tu maana Kuna mwamba mmoja hvi Leo kalamba asali ila jamaa alishawah kufanya interview ya utumish mara Moja tu Tena mwaka Jana mwez 6Mmh mkuu database ya miaka 2?? Imekaaje hpo
Kweli mwamba subra ni muhimu sana, mungu ni mwema naamini one day yes.Tuendelee kuwa wavumilivu tu maana Kuna mwamba mmoja hvi Leo kalamba asali ila jamaa alishawah kufanya interview ya utumish mara Moja tu Tena mwaka Jana mwez 6
Imagine Leo kaitwa Tena na taasis ambayo hakuwahi kufanya interview yake...
kasbr Zaid ya mwaka na kitu na alkuwa ashasahau na anapga mishe zake tu..
Leo pdf imeshuka anashangaa kuona watu wanamtext nakumpa hongera..
Kwahyo Kuna ktu Cha kujifunza hapa.
Wakati wa Mungu ni wakat sahh...na kama ipo ipo tuu kama haipo ni haipo.
Kabsa..Kweli mwamba subra ni muhimu sana, mungu ni mwema naamini one day yes.
ItitolrKujitolea ni gia ya kupata aidha free labor au cheap labor!! Lakini pia ni mlango wa kupitisha wateule fulani!!
IziizKujitolea ni gia ya kupata aidha free labor au cheap labor!! Lakini pia ni mlango wa kupitisha wateule fulani!!
Eti mtu unajitolea, unajitolea, kujitolea, kufundisha au hata kazi zingine, maana hiyo ni kama intern2, unajitolea.Kuna jamaa yangu yupo taasisi fulaniSaizi wanazipa mamlaka ya kuajiri yaani hatuoni hata kwamba sisi kwa mifumo yetu bado sana rushwa ipo juu sana, undugu, kujuana na taratibu hazifuatwi ndio maana hiki chombo psrs kina umuhimu japo nako wanamapungufu ila afadhali kuliko kuwaachia eti TANROAD,au halmashauri iajirinyenyewe huoni hapo ni hatari sana, sisi bado sana kujisimamia, na vijana humu ndani wanafurahia, wanacheka yaani kijana msomi wa chuo anarukaruka hawezi hata kujaji vitu sijui niwasomi wa wapi, mtu unafurahia uchochoro, huoni madhara, unarukaruka, kazi ni ushabiki wa kijinga, lazima tuwe kitu kimoja vijana, hatujui madhara ya hii kitu wanawaza miaka 3 au 2 tuangalie mbele maisha yatakuwaje nihatari hata kwa usalama wa taifa kama Waziri alivyo sema bungeni nchi hii watu wanabebana sana.Ajira chache ndio hata zilizopo tushindanishwe vyema, sio kisa unajitolea kwa kuletwa na mjomba unataka uajiliwe kienyeji fanya usaili umefeli endelea kujitolea huwezi ondoka au endelea kujitolea hata 10 years mama mjomba yupo atakukingia kifua ila kumbuka nae ni mwanadam kuna kufa, na kuondoka ndo utaelewa dunia inavyoenda. Mambo ya kujitolea mwisho miezi 6 au mwaka we miaka mi nne unajitolea nini nani anae kubakiza hapo ugande kama kupe
Iziiz
Hongera sana kwake...kikubwa uvumilivu Tu na kutokukata tamaa ndo silaha kuu ya jobless, kwa pamoja tutashinda, Muda utazungumza ni suala Tu la subira, kikubwa tuongeze juhudi za kuongeza izo received, tusiache ata kama nafasi ni moja, Yote yanawezekanaTuendelee kuwa wavumilivu tu maana Kuna mwamba mmoja hvi Leo kalamba asali ila jamaa alishawah kufanya interview ya utumish mara Moja tu Tena mwaka Jana mwez 6
Imagine Leo kaitwa Tena na taasis ambayo hakuwahi kufanya interview yake...
kasbr Zaid ya mwaka na kitu na alkuwa ashasahau na anapga mishe zake tu..
Leo pdf imeshuka anashangaa kuona watu wanamtext nakumpa hongera..
Kwahyo Kuna ktu Cha kujifunza hapa.
Wakati wa Mungu ni wakat sahh...na kama ipo ipo tuu kama haipo ni haipo.
Wale wadau wa status kweny WEB : SELECTED FOR ORAL kweny APP : SELECTED FOR ORAL.... Tuendelee kupambana na kumweka Mungu mbele ndio anaeijua kesho yetuMungu ni Mwema ,,nami nimefanikiwa kulamba Asali ....GOD DID THIS,
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Maisha yenyewe tunayoishi ni kujitolea toshaKujitolea ni nini, unajitolea kwa muda gani, jitu lina miaka 4 eti unajitolea, hiyo nafasi ww umemaliza chuo muda una miaka 7 mtaani unaendelea kujitolea kwanini usipishe wenzako ambao ni fresh graduate, hiyo ni njia ya kuweka ndg zao. Maana usaili wa psrs watoto wao wanapigwa mapema. Wanakimblia kujitolea au kupondea psrs, huo ni uhuni2.
Wamezoea kubebwa, ipo siku kitaeleka, kujitolea sehemu muda mrefu haimaanishi ndo unasifa za kupata kazi direct kisa una bi mkubwa hapo, utaratibu lazima ufuatwe maana hata wakati unaenda kupewa hiyo nafasi haukushindanishwa, ulichomekwa.
KWANI NYIE MNAONA WAP HIZO NAFASI WANATANGAZA ZA KUJITOLEA UNASHAANGAA JAMAA KAINGIA ANAGONGA MIAKA 5 akikaziwa analalamika, ww ulikubalj kujitolea endelea kujitolea
Ititolr
Yaap web ya psrs inauzito flan kufunguka toka jana, lakn saiz iko fresh tu.Jamani mbona tangu jana web haifunguki? Hiiii ni dalili ya nini? Au ndio mambo yamenoga😅
Yaap web ya psrs inauzito flan kufunguka toka jana, lakn saiz iko fresh tu.
Hongera mzee naelewa furaha uliyonayoWale wadau wa status kweny WEB : SELECTED FOR ORAL kweny APP : SELECTED FOR ORAL.... Tuendelee kupambana na kumweka Mungu mbele ndio anaeijua kesho yetu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
ahh watajijua wenyewe mi nshachoka.Afadhali wameanza kutoa pdf ,aisee Wana kilimo na mifugo wanaenjoy sana mamaee , placement kama zote kila pdf , wengine sie huku pangu pakavu mpaka kutafuta na tochi ,maanina . Placement moja kila baada ya pdf tano .
Damn !
Mpaka nawaonea wivu wana kilimo na mifugo
Oya ! ,Mwanangu El Marabiosh , PSRS Wana hasira na hii course yetu nini mwanangu ?
Au tumerogwa ?
Moyo umechoka eti, kaza Mheshimiwaahh watajijua wenyewe mi nshachoka.