FAUDHI TWAIBU
Member
- Feb 22, 2025
- 37
- 25
Umenipat kiongozihuwezi kujua hyo ni siri yao.apo cha msingi uwe unafatilia pdf za matokeo tu
Umenipat kiongozihuwezi kujua hyo ni siri yao.apo cha msingi uwe unafatilia pdf za matokeo tu
hizo sina exerience nazo mkuuKwenye kada ya mtendaji/mtaa/kijiji
Download app ndio inasema kweli kama kwenye app una selected for oral jiandae kufuata barua kama sio ndoigeSelection awaoneshag katika tovuti ya utumishi au
App yao ipDownload app ndio inasema kweli kama kwenye app una selected for oral jiandae kufuata barua kama sio ndoige
Ila mara ya mwisho app yao ilikuwa under maintenance
Pole sana status na utumishi kuna mda wanachanganya sana
Kule imeandik selected for oral mpak xasaiv IL nilishapig oralApp yao ip
Mapambano mzee hakuna kurudi nyuma, nikusubiri tu tena zikitoka nikuomba tuDah yan accounts ii wamechukua hadi 85 tu walahi
Mm ñimeingia kwenye akaunti yang imeandika selected for oral interview tok mwez wa 10 xijaelewa apoDownload app ndio inasema kweli kama kwenye app una selected for oral jiandae kufuata barua kama sio ndoige
Ila mara ya mwisho app yao ilikuwa under maintenance
Pole sana status na utumishi kuna mda wanachanganya sana
Ila oral nishapig toka mwaka jana databaseMm ñimeingia kwenye akaunti yang imeandika selected for oral interview tok mwez wa 10 xijaelewa apo
Imagine bro hali kama hio sema ni 1/3 nazan ilitumika lkn bado hawajafanya fair bora wangeacha tu wote wa 68View attachment 3245983hao wenye 68 waefungana lakini kachukuliwa mmoja
Mwez wa ngapi mkuuIla oral nishapig toka mwaka jana database
Mwezi wa 10 IL bad ip sected for oralMw
Mwez wa ngapi mkuu
wamezinguaImagine bro hali kama hio sema ni 1/3 nazan ilitumika lkn bado hawajafanya fair bora wangeacha tu wote wa 68
Mbona unampotosha mwenzio, yn ikiwa selected for oral ajiandae kufata barua, em acheni hizo mazeeDownload app ndio inasema kweli kama kwenye app una selected for oral jiandae kufuata barua kama sio ndoige
Ila mara ya mwisho app yao ilikuwa under maintenance
Pole sana status na utumishi kuna mda wanachanganya sana
Duh uchawi upo aisee, ila huyo mwngn akiwachek anaweza nae kuwemo SELECTED au wote kutolewa.View attachment 3245983hao wenye 68 waefungana lakini kachukuliwa mmoja
Ishafanyika leo asubuhi ko hakuna namna anaweza fanyaDuh uchawi upo aisee, ila huyo mwngn akiwachek anaweza nae kuwemo SELECTED au wote kutolewa.
Hapana, bado kuna namna anaweza kufanya.Ishafanyika leo asubuhi ko hakuna namna anaweza fanya
aisee mie ningewavutia waya mapema sana either waniweke au watutoe woteDuh uchawi upo aisee, ila huyo mwngn akiwachek anaweza nae kuwemo SELECTED au wote kutolewa.