kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 682
- 1,293
Hivi madereva waliwapa nini utumishi...mmeona pdf la leo
Hivi masuka wanalipwa shingapi ? ,ili tubadilishe fani tu japo nilisikia interview zao ngumu balaa.Hivi madereva waliwapa nini utumishi...mmeona pdf la leo
wale wa wizara hamna hamna wanakunja 540k bado marupurupu kutoka kwa maboss waoHivi masuka wanalipwa shingapi ? ,ili tubadilishe fani tu japo nilisikia interview zao ngumu balaa.
Kumbe wanamaisha na bado safari hapo.sema masuka wengi naona wanaenda kwenye mataasisi nao balaa.utumishi watatuua kwakweli.wale wa wizara hamna hamna wanakunja 540k bado marupurupu kutoka kwa maboss wao
Tuendelee kuwa wapoleKumbe wanamaisha na bado safari hapo.sema masuka wengi naona wanaenda kwenye mataasisi nao balaa.utumishi watatuua kwakweli.
Hiyo ni database ya mwaka jana kuanzia mwezi wa Tisa mpaka wa 10 hapo madereva walipiga Sana interviewHivi madereva waliwapa nini utumishi...mmeona pdf la leo
ok ngoja tuone huenda na sisi tutafikiwaHiyo ni database ya mwaka jana kuanzia mwezi wa Tisa mpaka wa 10 hapo madereva walipiga Sana interview
Ulipiga mwezi wa ngapi mkuu??ok ngoja tuone huenda na sisi tutafikiwa
tarehe 30/12/2024 mkuuUlipiga mwezi wa ngapi mkuu??
Basi tutafikiwa taratibu mkuu japo placements zenyewe tunazisubiri kwa siku 7 ila mwezi wa 2 hapa tunaramba asali mkuutarehe 30/12/2024 mkuu
Ikawe hivo mkuu ntafurahi sanaBasi tutafikiwa taratibu mkuu japo placements zenyewe tunazisubiri kwa siku 7 ila mwezi wa 2 hapa tunaramba asali mkuu
Amina Mkuu tuendelee kuwa wavumilivuIkawe hivo mkuu ntafurahi sana
Kwani siku hizi si ni Idara inajitegemea completely?Inategemea sehemu na sehemu
Ila maisha bhana! Serikali wajitafakari kidogo wabadilishe viwango vya mishahara hasa LGA.Hivi masuka wanalipwa shingapi ? ,ili tubadilishe fani tu japo nilisikia interview zao ngumu balaa.
Taasisi gani hiiHapa alikua anaitajika mtu mmoja 🤣🤣
View attachment 3219740
electricalTaasisi gani hii
Naombaga Kwa Mungu kheri nipate uko ndani ndani ata gambosi kijijini uko mbali Sana kuliko uo mkoa wa Kilimanjaro😂😂umejuaje
Lkn ajabu wengi tunaenda ku test mitambo tu. Hatujiandai utakacho kikuta icho icho sasa ukasoma vizur unashangaa unapasua kilainHapa alikua anaitajika mtu mmoja 🤣🤣
View attachment 3219740