No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,378
- 13,452
Kwan 'under maintenance' imetoka?App sas hv haifanyi kazi, mie sidhan kama Kuna wanaoandikia tofauti ya SELECTED FOR ORAL
Kwan 'under maintenance' imetoka?App sas hv haifanyi kazi, mie sidhan kama Kuna wanaoandikia tofauti ya SELECTED FOR ORAL
Ehe omba isibadilike ukiona not jua kulamba asari sahauApp sas hv haifanyi kazi, mie sidhan kama Kuna wanaoandikia tofauti ya SELECTED FOR ORAL
Hy ata sio sababu maana tokea mwezi wa nane na tisa mikeka michache sanNaona mmepata sababu ya mikeka kuchelewa.View attachment 3100607
Kuna ambao wameandikiwa not selected baada ya oral utumishi!?Ehe omba isibadilike ukiona not jua kulamba asari sahau
Hakuna muujiza apo ngoja wailekebishe utaona ushuhuda
Ko mtu umu ndani usilalamike sana pitia na status zako
Sababu ni nini unadhani?Hy ata sio sababu maana tokea mwezi wa nane na tisa mikeka michache san
Hii mada tuliifunga wapoKuna ambao wameandikiwa not selected baada ya oral utumishi!?
Kuna ambao wameandikiwa not selected baada ya oral utumishi!?
Sijaelewa hii n kitu gn, naomba unieleweshe.Hio orodha kama uliomba chw ukikosa na hapa ndio basi tena
Unajua mshahara wake lakini ?Hio orodha kama uliomba chw ukikosa na hapa ndio basi tena
Hakuna jipya, leo wanatoa majina ya walioitwa usaili kada ya ualimu ili wajadiliane weekend hii badala ya kujadili Simba na Yanga bila faida yoyote.Leo kitu kinaanguka uko...PDF kama 3 hivi
🤣🤣 na wamegoma kuzima kimulimuli sasaHii mbili ya El marabiosh halafu ile tatu ya Rahsully , na hapo walikuwa wamekaa wanaibiana majibu 🤣🤣🤣
Mimi ndio maana fedheha kama hizi nishazikataa , nikagoma kuomba
Nikaona niendelee na udalali mtaani
Walimu wa bookkeeping na commerce hizo ajira watawafanyisha lini usaili.Hakuna jipya, leo wanatoa majina ya walioitwa usaili kada ya ualimu ili wajadiliane weekend hii badala ya kujadili Simba na Yanga bila faida yoyote.
Katibu kalala labda wiki ijayoLeo kitu kinaanguka uko...PDF kama 3 hivi
Huyu katibu yupo kikazi zaidi, naona yupo vizuri kwahyo tutarajie haki itaendelea kutendeka kama awaliKatibu kalala labda wiki ijayo
Hao bado sana deadline yenyewe trh 30 sepWalimu wa bookkeeping na commerce hizo ajira watawafanyisha lini usaili.
Mm naona kama Majina wa 10 huko