Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,120
- 131,823
Masuala haya tushayamaliza kuyaelezea humu.Cheti cha kuzaliwa kikiwa kinasoma Johnpaul Anthony Mafwele
Halafu vyeti vya taaluma na Nida vikawa vinasoma John Anthony Mafwele. Ni tatizo?
Anyway, hilo n tatizo mana hao n watu wawili tofauti.