Jerry001
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,675
- 3,975
Huenda vetting yake ime-fail, pia kumbuka hapo PSRS wakuu wake huwa ni watu wa ile taasisi nyeti, huenda yeye sio nyoka. Kumbuka hata Xavier Daudi aliletwa hapo kutokea majengo yale ya OysterbayNilichosema ni Mama kumletea bosi wakati yy kakaimu mwaka mzima...hapa mama hajamfanyia fair sababu hii kitu inauma sana