HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Yani watu wa afya mngetuuliza wa IT tukawatengenezea vitambulisho hata vya kinmagumashi hakuna anaye scan barcodes pale
Ilo wazo lako mkuu bora utulie nalo na mtu asithubutu kuchukua vitambulisho fake kuna watu wa usalama wa taifa ni wasimamizi pale mkuu ohoo ukidakwa ww ujue ajira ndio basi tena
 
Back
Top Bottom