Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mbona walisema usahili saivi ni kidigital Kila wilaya. Sasa mbona tunarudi kule kule kwenda Dodoma tena. WHY? PSRS NAOMBA MTOONEE HURUMA ZA GHARAMA ZA KUSAFIRI

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Itakuwa mpaka wale watu wa tehema walio fanyiwa usaili kupitia mfumo wa atitude test wa kigital wapangiwe vituo vya kazi(placement) katika kila kituo kitakocho kuwa kinafanyiwa usahili ili wasimamie hizo sahili zitakazo kuwa zinafanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…