HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
kama tumeweza kuvumilia results ya NOT SELECTED FOR ORAL after written interview , pamoja na kuoneshwa passmark zetu. kipi kitashindwa kuvumilika kuona results ya oral incase ni mchinjo ama neema kwenye account ya jobless
Eti wanasema wakikuambia umefaulu alafu nafasi isipatikane utawasmbua 😅😅
 
Mambo yawe kama wanavyofanya TAESA. Ukitoka oral unaingia kwenye account yako kujua kama umepass au lah. Faida ni nying za kutoa matokeo ya oral zaid ya hasara
20231004_130014.jpg
 
Back
Top Bottom