ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,986
- 40,096
🤣🤣🤣🤣 utauaaa mkuu
Ukiwa na mpenzi huwezi kua huru?Ili niwe huru
Ili niwe huru
HapanaUkiwa na mpenzi huwezi kua huru?
Usikute na wewe upo kama huyo jamaa🤣🤣😂😂😂😂
Wewe Platinum umeoa unakosa uhuru wowote?Kweli hii ni fact.
Unataka kua huru kwenye nini yaan?Hapana
mambo sjui ya oh uko wapi?Kweli hii ni fact.
kwenye angle zoteUnataka kua huru kwenye nini yaan?
We jamaa utakua mchoyooo🏃♀️😅mambo sjui ya oh uko wapi?
unafanya nini?
uko na nani?
unarudi sangp?
Nipeleke out
Simu/sms zinaingia kila saa saa
So una enjoy kua single etkwenye angle zote
yaan kutokua na mpenzi dihaMtu unakuwaje single yan?
HapanaAu usingle wa kwenye official documents!!
mambo sjui ya oh uko wapi?
unafanya nini?
uko na nani?
unarudi sangp?
Nipeleke out
Simu/sms zinaingia kila saa saa
SanaaaSo una enjoy kua single et
Sina uchoyo walaWe jamaa utakua mchoyooo🏃♀️😅