Kwanini upige picha kama hii kwenye ajali?

Nashangaa povu la picha, sasa huyo unae mponda hapo ndo alie kufanya ukafungua huu uzi humu ndani. Nimpongeze kwa kuripoti hii habari na wewe mtoa maada ukapata cha kuposti humu leo. Nikiachana na wewe, narudi upande wa pili. Kuna walio elewa mara mbili hapo. 1 Wapo walio elewa kwamba jamaa anaongelea picha ya hayo magari, lakini wapo walio elewa hiyo picha ya huyomwandishi au niseme ripota wa hii ajali. Na mimi nime elewa hii ya mwandishi. Siyo kosa kwamaana ya utambulisho kakuletea habari na kujitambulisha kama yeye ndo mwenye habari kosa lake nini hapo. Ingelikua amepiga picha za wahanga wa ajali yani maiti za ajali hata mimi ningelia nae. Mtoa mada una lako jambo.
 
Uyo jamaa kakutana na shot.....hata sio lengo lake na wala sio selfie hiyo
 
Tatizo lako mawazo yako makwapani kama kuku jee waandishi wa habari wanapoenda sehemu kama hiyo na kuchukua habari na watu wakiwemo kuna tofauti gani na hiyo wee nyeti kweli...
Sory sijawahi kumtukana mtu humu ila limenitoka ..
#MuandishiWaHabari yaan ww unafungwa nyeupe kama tishu
 
Kama ulishawahi sikia kuna watu wanaitwa KubwaJinga ndo kama hilo lingosha
 
Mzuqa wanajamvi!

Siku hizi watu hatuna staha kabisa. Majanga yakitokea tunafanya mzaha kwa kauli, picha, maandishi na vitendo. Kama haijakutokea mshukuru Mungu kwasababu Hujui kesho. Haileti picha nzuri kabisa kujipiga selfie ama picha kwenye matukio ya ajali ama Majanga ukaposti.

This not right at all its fundamentally wrong and totally unacceptable!

View attachment 1077775
hajapiga amepigwa
 
Haha usjal mkuu.
Wabongo wanaongea sana aisee inabid sometime tukipata nafas tuwakanye. Kila mtu ana hak ya kuchagua jinsi ya kuish so long as havunj sheria yoyote ya nchi.

Tatizo kuna matahira wengine kama huyo mtoa mada wanataka kila mtu aish kuendana na fikra za kifala kama alizonae yy.
Any way mkuu heri ya pasaka
Huyu Jon Stephano picha hii yeye kaipataje kama nae hakuwepo kwenye eneo la tukio?? Pili kuna tofauti gani kati ya aliyepiga na huyu aliyeamua kusambaza?? Huyu anaetuhumiwa ukimwangalia kwa makini yuko kwenye motion.
Mwisho mtoa mada acha uchochezi.
 
Mzuqa wanajamvi!

Siku hizi watu hatuna staha kabisa. Majanga yakitokea tunafanya mzaha kwa kauli, picha, maandishi na vitendo. Kama haijakutokea mshukuru Mungu kwasababu Hujui kesho. Haileti picha nzuri kabisa kujipiga selfie ama picha kwenye matukio ya ajali ama Majanga ukaposti.

This not right at all its fundamentally wrong and totally unacceptable!

View attachment 1077775
Hakuna tatizo, ni ushahidi kuwa alikuwepo. Angepiga kawaida washkaji zake wangesema amefowadiwa.
 
Nawew kwanin uiweke picha ya hivi
Wote mko sawa nyama ya mbav wwe
 
Mzuqa wanajamvi!

Siku hizi watu hatuna staha kabisa. Majanga yakitokea tunafanya mzaha kwa kauli, picha, maandishi na vitendo. Kama haijakutokea mshukuru Mungu kwasababu Hujui kesho. Haileti picha nzuri kabisa kujipiga selfie ama picha kwenye matukio ya ajali ama Majanga ukaposti.

This not right at all its fundamentally wrong and totally unacceptable!

View attachment 1077775
Ni kweli kabisa sio Mzuqa kabisa kufanya haya makitu.
 
Tatizo lako mawazo yako makwapani kama kuku jee waandishi wa habari wanapoenda sehemu kama hiyo na kuchukua habari na watu wakiwemo kuna tofauti gani na hiyo wee nyeti kweli...
Sory sijawahi kumtukana mtu humu ila limenitoka ..
Ushona mwandishi wa habari anajipiga selfie na maiti??
Acha upuuzi.
 
Sio ustaarabu hata kidogo, kuna maiti zimelala hapo hata kufunikwa bado. Mtu anasimama na kujipiga/kupigwa picha..

Ila sisi sio wastaarabu katika mengi tu.
 
Kama ni Manusura ni haki yake kwa ajili ya kumbukumbu, maana kupona kwenye incidence kama hiyo ni "Mungu bariki". Lakini kama ni mpitanjia ni Uzuzu.
 
alafu ikiletwa habari bila picha mnalalamika, ikiwekwa picha na mpigaji mnalalamika sasa mnataka nini nyie pipo?
 
Back
Top Bottom