Kwanini upige picha kama hii kwenye ajali?

Tatizo lako mawazo yako makwapani kama kuku jee waandishi wa habari wanapoenda sehemu kama hiyo na kuchukua habari na watu wakiwemo kuna tofauti gani na hiyo wee nyeti kweli...
Sory sijawahi kumtukana mtu humu ila limenitoka ..
Dogo acha kulialia sana. Siyo jinai Ukipiga picha hivyo kuna kitu kinaitwa staha self esteem kwa lugha yangu yangu ya kwanza
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie Mkuu huwa nashangaa sana, hata kuwapiga picha waliohusika kwenye ajali si sawa pia.

Mzuqa wanajamvi!

Siku hizi watu hatuna staha kabisa. Majanga yakitokea tunafanya mzaha kwa kauli, picha, maandishi na vitendo. Kama haijakutokea mshukuru Mungu kwasababu Hujui kesho. Haileti picha nzuri kabisa kujipiga selfie ama picha kwenye matukio ya ajali ama Majanga ukaposti.

This not right at all its fundamentally wrong and totally unacceptable!

View attachment 1077775
 
Ujinga wa milenia huu! Stupid kabisa!
Watu wameumia na wengine kufa kabisa alafu jitu linaji-selfie hapohapo kwenye tukio
 
Haha usjal mkuu.
Wabongo wanaongea sana aisee inabid sometime tukipata nafas tuwakanye. Kila mtu ana hak ya kuchagua jinsi ya kuish so long as havunj sheria yoyote ya nchi.

Tatizo kuna matahira wengine kama huyo mtoa mada wanataka kila mtu aish kuendana na fikra za kifala kama alizonae yy.
Any way mkuu heri ya pasaka
Hahah me napambana na yangu simsikilizi mtu

Sikutegemea jibu kama hili nilijua na mie utantukana
 
Back
Top Bottom