Kwanini upige picha kama hii kwenye ajali?

Mambo kama haya huwa sishangai ndio jamii ilivyo...kila mtu ana mtazamo wake....kila mtu anajiona yupo sahihi.....
 
Kila kitu huwa kina ushuuda hapa duniani,yeye amekuwa shuhuda kwa kushuudia wenzake wakitoweka duniani.
Haiishii hapo na yeye atakuja kushuhudiwa na wengine na huende wakapiga selfie nyingi zaidi yake
 
Kafanya hivo, kuwaonesha wanao jiweka katika risk za kupata ajali wajifunze.

Wajue kuna kifo. Na watatuacha tunapinga picha sisi kama hivo.

 
Mzuqa wanajamvi!

Siku hizi watu hatuna staha kabisa. Majanga yakitokea tunafanya mzaha kwa kauli, picha, maandishi na vitendo. Kama haijakutokea mshukuru Mungu kwasababu Hujui kesho. Haileti picha nzuri kabisa kujipiga selfie ama picha kwenye matukio ya ajali ama Majanga ukaposti.

This not right at all its fundamentally wrong and totally unacceptable!

View attachment 1077775
Liyepiga picha hakuwa na makosa, mwenye makosa ni wewe liyeipost huku mitandaoni
 
Back
Top Bottom