Kwanini ung'atwe ovyo!!

1.Kwann huwa mnahisi kuonewa?
2. Unapomuacha mwanamke kwa nn lawama mnatupa sisi wanaume?
Thread yako ni nzuri lkn imeegemea upande mmoja. Ilifaa isipendelee upande wwte. Nakupa 50% chini ya 100
 
Umenena, linapotokea tatizo wengi wetu huwa hatuzungumzi na muhusika badala yake unaenda kumuelezea mtu baki ukitegemea utapata suluhisho. Unaempelekea nae anayake yanamshinda kwa hiyo kupata ulichokuwa unatarajia ni vigumu utachapa lapa kwa wangapi?
 
Umempa somo zuri sana, kama anajielewa huu ushauri utamsaidia sana.
 
Huenda mtoa uzi ni mdangaji mkuu, hajui ustawi wa familia
 
Ushauri wa kiboya kama huu mpe boya mwenzio Joyce Kiria.
 
Umenena, linapotokea tatizo wengi wetu huwa hatuzungumzi na muhusika badala yake unaenda kumuelezea mtu baki ukitegemea utapata suluhisho. Unaempelekea nae anayake yanamshinda kwa hiyo kupata ulichokuwa unatarajia ni vigumu utachapa lapa kwa wangapi?
Na hilo ndio huwa ni kosa sababu kuna tabia nyingine unaweza kuta mtu anazo ila hata hajui kama zinakera na kuudhi, na wapo watu ambao wako hivyo sikuzote ila ikitokea yakawepo mazungumzo lazima atajua hapa nakosea na solution ni hii. Baasi.

Ndio hapo sasa mwaya. Mie sikuafiki kabisaaa yaani huko kuchapa lapa sababu siku zote hakuna mkamilifu.
 
Maisha ni bonge la adventure, msiyabughudhi tukakosa uhondo
yaani wewe unawazaga kama mimi.Maisha ni haya haya unayoishi sasahivi jamani furahia to the fullest maana hatujui huko baada ya kufa nini kinaendela mf.ukienda mbinguni hujui utakuta nini kinaendelea.Kwa hiyo my friend enjoy the life sasa hivi changamoto zipo lakini zisikufanye ukashindwa kuenjoy.ISHI MAISHA MPAKA MUNGU MWENYEWE AFURAHIE UUMBAJI WAKE.
 
Very few women understand this concept,you are always a wise woman,big up...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…