KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,143
- 40,910
- Thread starter
-
- #41
Muache tu aione hii thread, atajifunza kuwa uongo sio dili hasa unapodanganya kwenye mambo ya muhimu
Sunna manake nin?
Ukitumia uongo basi utampata msichana kirahisi lakini mahusiano either yatakuwa ya kiuongo uongo na uenda yasidumu baada ya ukweli kujulikana.
Ukitumia ukweli itakuwa ngumu kumpata lakini mahusiano yatadumu kwenye ukweli na kuvumiliana uenda kukawepo.

Salaam wakuu
Nimekuwa nikishuhudia mahusiano mengi yakivunjika na hata ndoa zimekuwa na migogoro kama sio kuvunjika kabisa.
Lakini ukija kuchunguza kwa umakini unakuta mzizi wa yote ni uongo tu mmoja kati ya wapendanao alikuwa anamuongopea mwenzie.
Huwa najiuliza inakuwaje mtu ambae unampenda na una malengo nae ya muda mrefu kwanini unatumia uongo kumpata, kwanini usimwambie ukweli kuhusu wewe ili mwenyewe achambue mbivu na mbichi.
UKWELI HUKUWEKA HURU.
Hakuna kitu nakichukia kama uongo.....namchukia mtu mwongo
Hahaha...siku moja akaniambia mwezi ujao nasafiri naenda US.....siku nyingine tupo wote akampigia mtu 'aisee samahani bwana nimesahau passport yangu hapo kwako namtuma dogo aje aichukue' siku nyingine akajifanya amekosea eti kutuma meseji eti 'samahani bro nimeacha passport yangu hapo ofisini naomba uniwekee vizuri kesho ntawahi niichukue naenda ubalozini' Mwanzoni nilikuwa sielewi kama mtu mzima mwenye 30+ anaweza kufanya utoto wa namna hiyo nimekuja kuelewa baadae sana. Nashangaa mpaka leo namuona tu natamani kumuuliza safari yake iliishia wapi asije akaona namfuatilia bure
ukitongozwa kwa ukweli utakataa khantwe!!!
Mbavu zangu mimi hahahahhahahahahahahaaha. Jitu zima linajifanya kutuma sms kwa kukosea ili likudanganye mweee, mmmh uongo mbaya jamani
Hahahaaa yani hovyooo....kuna vingine alikuwa anajisifia aibu hata kusema
Ukifanya unapata thawabu ukiacha hupati dhambi
Umeisoma vizuri mada?