Kwanini unatumia uongo kumpata mpenzi?


Kuna mtu anafanya kazi sehemu fulani hivi....sasa kunitajia ile kazi yake akaona soo si akaniambia ye usalama wa taifa na ile kazi anayoifanya ni kizugio tu. Na kwa uongo huo alinikosa wakati nlishamjubali kabisa.Watu hawana haya jamani daah....hivi usalama wa taifa huwa wanajisema?
 
Hahahahaha duh etiusala wataifa angekuwepo karibu yangu ningemrusha kwanza kichura chura mpaka ofisini kwake teh teh sijui wakoje jamani sasa mtu hata kazi yako waiyonea haya je mimi hapo nitakaa kwekli mie ndukiii atabakia soma namba za viatu tu hahaha alikosa haya kwa kweli USALAMA WATAIFA HUWA HAWAJISEMI HATA SIKU MOJA, ulimuwezeje hahaha kumpiga chini mapemaaaaaaaaa!!
 
sasa mm nataka nikojoe nitembee ya nn nijianike...mademu wenyewe siku hizi nt0*be nikale tu.
 

Ni hatariii...
 
loh ukimwambia ukweli kuwa nataka papuchi havui chupi
 

Hahahaha boss na wewe mtata. Anyway watu wenye hela zao na wenye maisha bora hawapigi kelele. Very simple yani wewe utaona tu vitendo... Sasa kina kabwela, " ngoja nibadili gari hii murano linanisumbua, haujapumzika tu utamsikia aah ngoja niingie bank, kuna mtu kaniomba hela so namtumia mmmmh yani ni fix tu hadi unakereka afu vitendo F kabisa. Acheni kupiga kelele
 

Umeona eeh? Huyu wangu alikuwa na makeke balaa... Ngoja ninyamaze asijekuwa ni memba wa jeiefu
 
Mimi niliamuaga kuwa mkweli na nitaendelea hivyo
 



sema ukweli japokua unauma
 
Umeona eeh? Huyu wangu alikuwa na makeke balaa... Ngoja ninyamaze asijekuwa ni memba wa jeiefu

Muache tu aione hii thread, atajifunza kuwa uongo sio dili hasa unapodanganya kwenye mambo ya muhimu
 
uongo bana kama chumvi vile sijui unauepukaje
 
Muache tu aione hii thread, atajifunza kuwa uongo sio dili hasa unapodanganya kwenye mambo ya muhimu

Hahaha...siku moja akaniambia mwezi ujao nasafiri naenda US.....siku nyingine tupo wote akampigia mtu 'aisee samahani bwana nimesahau passport yangu hapo kwako namtuma dogo aje aichukue' siku nyingine akajifanya amekosea eti kutuma meseji eti 'samahani bro nimeacha passport yangu hapo ofisini naomba uniwekee vizuri kesho ntawahi niichukue naenda ubalozini' Mwanzoni nilikuwa sielewi kama mtu mzima mwenye 30+ anaweza kufanya utoto wa namna hiyo nimekuja kuelewa baadae sana. Nashangaa mpaka leo namuona tu natamani kumuuliza safari yake iliishia wapi asije akaona namfuatilia bure
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…