Kwanini unatumia mtandao wa simu ulio nao?

Kwanini unatumia mtandao wa simu ulio nao?

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
4,206
Reaction score
8,446
Wakuu, Kwanini unatumia mtandao wa simu Ulio nao sasa? Ni criteria zipi zilikufanya Uchague namba ya simu ya mtandao fulani kama namba yako kuu?

Je incase ume attain Popularity una handle vipi Mawasiliano yako yani unakuwa na Multiples simcard au unafanyaje?
Mimi natumia line moja tu ya simu na huwa napenda kutumia simcard moja

Karibuni wadau kwa Maoni nimeshuhudia Political figures na watu famous mtu anakuwa kabeba hata simu tatu hii imekaaje?
 
Kwenye hii nchi maeneo mengi mitandao ya simu inapatikana na shida, hivyo inakulazimu uwe na sim card zaidi ha moja.
 
-Uko stable kulinganisha na mitandao mingine niliyowahi tumia
-sijawahi pata changamoto kubwa za kunikera kuhusu wao
  • ila bando zao uweeee zinatembea kama mtu anakunywa maji kunywa
  • hawabadiliki majina hovyo hovyo tangu naanza kuitumia mpk leo jina lilelile kama sijasahau
 
Back
Top Bottom