Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,722
- 3,796
Wa siku hizi hawako hivyo, wanapenda kujaribu kujua kipi kinachomfanya mama apige kelele usiku.Mentor kwa kweli una kipaji cha utunzi.
Umenisisimua.
Nawaonea huruma wasichana wanao anza maisha. Wengine tulikulia kikoloni. Mwanaume akikutongoza unaanza kuwaza mama ataniua unakimbia. Naomba Mungu wanangu wanisikilize nitakacho wafundisha.