stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 604
- 1,238
Kwanini unapoongea na mtu humwangalii machoni?
Thibitishanajua
Umejuaje ,weka research results yako hapayes 80% weng wanaangalia pemben
Hata kwa waafrica Sio kweli labda kwa matapeli wasema uongo na wanafki.Nadhani hili ni kwa sisi WaAfrica,ila kwa wenzetu toka Mabara mengine,HAPANA
Chunguza ,utabaini kitu SheikhHata kwa waafrica Sio kweli labda kwa matapeli wasema uongo na wanafki.
Nikutojiamini tuChunguza ,utabaini kitu Sheikh
Baadhi ya nchi au tamaduni, kuongea na mtu, huku ukimwangalia usoni, ni rude, aggressive, or disrespectfu behaviors.Kwanini unapoongea na mtu humwangalii machoni?
Kwanini unapoongea na mtu humwangalii machoni?
Mada zinaanzishwa kihuni huni tu kama comment za huko Facebookuseyourcommonsensetothink kabla hujaanzisha mada.
Siku hizi imekua simple sana kuanzisha nyuzi JF.Mada zinaanzishwa kihuni huni tu kama comment za huko Facebook