Kwanini unampenda mpenzi ulienaye?

Kwanini unampenda mpenzi ulienaye?

mimi wa kwangu ananifanyia hivi ndo nachompendea

10413346_626717400753921_806094273821896964_n.jpg
 
majigo dengue imeisha au bado maana nina mpango wa kurudi bongo maana mizinga ya ug imenichosha..loading error..

hahahah rudi banah
warembo wamekumis
dengue ina watu wake, sio ww mzee wa black nature!!!
 
hahahah rudi banah
warembo wamekumis
dengue ina watu wake, sio ww mzee wa black nature!!!
ha ha haaaa majigo wewe ni mtu mkubwa sana bongo ngoja nifanye mikakati nije.
vp nikuletee black mmoja wa kiganda?ila wanamizinga hao balaa afadhali bongo yangu.
miss chaga yupo?......loading error....
 
Back
Top Bottom