usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,978
- 14,101
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nilicheza na hisia za mtu na mie nikachezewa zangu safii ... Sasa hivi nimekua na adabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitacheza na hisia za mtu tena
Mfunza hufunzwa pia