Kwanini unachepuka?

Kuna vitu vingine very funny...natamani kupata mrejesho kama kuna waliokwenda kupiga nyaa kwa DC
Walioko huko watuhabarishe, ila waliambiwa kama wana akili wangejenga usiku na mchana, japo kauli hii iliniacha mdomo wazi kwamba hao jamaa hawana akili halafu wakapewa uongozi, na bado anawashangaa.
 
Kuchepuka ni kitu kinachokuja automatically, na ndio maana hakujamuacha salama mtu wa aina yoyote. Awe waziri, Mchungaji, shekhe, mtume, nabii, mwalimu na awaye yeyote. It's just a matter of time and place.
 
Nilikuwa na rafiki yangu mmoja, yeye alioa kabla yangu. Lakini, baada ya kupita miezi kadhaa, akaanza kuchepuka. Mimi nikamuuliza, ni kwa nini wakati ana mke nyumbani? Akaniambia, jibu utalipata utakapo oa!
Yaani alikataa kata kata kunipa sababu. Ilinichukua muda mrefu kulipata jibu. Ni mpaka nilipokuja kuoa.
Kwa sasa naelewa sababu. Wakati mwingine tulikuwa hatupendi, bali TUNASABABISHWA!
 
Yani niwe na wimbo mmoja tu kwenye simu yangu naskiliza weeee nina wazimu lazima niongeze mingine
 
Back
Top Bottom