Digaller
JF-Expert Member
- Oct 20, 2009
- 745
- 427
- Je Kwa Sababu Unahitaji Watoto/Mtoto?
- Je Kwa Sababu Unahisi Upweke Uwapo Pekee?
- Je Kwa Sababu Babu/Bibi Wanataka Mjukuu/Wajukuu?
- Je Kwa Sababu Huwezi Ishi Pekee?
- Je Kwa Sababu Ni Desturi Ya wanadamu?
- Je Kwa Sababu Umekuwa mkubwa?
- Je Kwa Sababu Unataka Upate Warithi Wa Mali Zako?
- Je Kwa Sababu Unaogopa kupata Magonjwa Ya zinaa?
- Je Kwa Sababu Unahitaji Kufanya Mapenzi?
- Je Kwa Sababu Rafiki Yako Ana Mke/ Mume?
Swali:- Je Kwanini Una Mpenzi/Mke/Mume?
Angalizo: Usipooa/kuolewa Utaitwa Mchoyo, Hufanyi Kazi, Shoga, Unaogopa Majukumu, Mchawi N.k.
Weekend Njema Wakuu, Tukutane ZANZIBAR BAR kwa Wapenda Kiti fire.