Kwanini umsomeshe mtoto shule ya wavulana pekee?

KUMBE KWELI SHETANI AKIZEEKA ANAKUWA MALAIKA!!!!!
JAMAA YANGU LEO IQ IMEKUA 100%
 
Hakuna kitu kama hicho ndugu mleta mada. Swala la ushoga kuchochewa na shule za bweni za kiume tena za serikali haiwezekani ndugu mimi nimesoma huko shule tofauti tena boys tupu. Kule ndugu yangu unafundishwa roho ngumuu ya uvumilivu, fikilia tuu huko kupata ugali hadi upigane sasaa huo ulegevu wa kishoga utaupata wapi. Msalato girls walikua wanaletwa na hamasa ipo kila mtu awe na demu kule. Iringa girls ivo ivo, Tabora girls ivo ivoo wanapelekwa boys kucheza mziki na kubadilishana mawazo na kutongozana. Ushoga ni ufala tuu wa mtu binafsi.
 
Naomba niseme machache..

Tuna angalia tulipo ndondokea badala ya kuangalia tulipojikwalia..! "We consume what we don't produce"

Malezi ya watoto wetu hawa wakisasa imekuwa ni tofauti na miaka yetu ya nyuma, tumeacha asili yetu ya malezi ya mtoto tumekimbilia usasa.

Malezi yetu ya asili tulikuwa tunavalishwa bambino, vipande vya khanga, vipande vya vitenge, n.k

Watoto wa kisasa tunawalea na kuwakuza kwa kuwavalisha "diapers" na kuwatawaza na "wipes" ambazo zinazalishwa na hao hao wapenda ushoga.Unategemea nini?

Jamii zetu za kiafrika zina vyakula vyake vya asili ambavyo kaya nyingi za kiafrika za leo hii hawavitumii labda kwa maelekezo ya Dr, hospitali.Mfano Magimbi, Mihogo, viazi vitamu, n.k

Tumekuwa wapenzi sana wa vyakula vya kileo na tumesahau vyakula vyetu vya asili, pizza, french fries,pringos, burgers na n.k haya mavyakula yanazalishwa na hao hao.

Labda tujiulize kwanini sasa hivi tuna mahan'some boy wengi na beutiful girls wengi.... (umiza kichwa...)

Tusisingizie shule za bweni kwenye tatizo hili, shule za bweni ziko tangu miaka hiyo ya nyuma mbona haikuwa kama ilivyo leo hii..? Tuache siasa kwenye jambo hili, hili jambo ni mtambuka.

Tusidili na matokeo... tudili na kuandaa matokeo, na ili tuweze kuondoa haya matokeo yanayopigiwa kelele leo hii basi turudi kwenye asili yetu.
Shule za bweni, imetajwa kuwa moja ya kichocheo, sio kila mwenye tabia hiyo kaipata huko. Hata majumbani, watoto huwa ni wahanga kama kuna ndugu aliyeitembelea familia na kulala na mtoto, majirani au njiani huko anakoenda au kurudi shule.
Wapo watu wazima kama ambavyo wapo na wenye umri mdogo wanaojihusisha na hayo, mijini na vijijini pia, hivyo suala la kuvalishwa nepi kulinganisha na diapers, sidhani kama linahusika, na tangu zamani hadi sasa wapo wenye sura za mvuto, mwanaume kwa wanawake, lakini hii pia si hoja, kwani wengine wana sura ngumu na wanajihusisha ma haya mambo.
Hivyo tujue kuna, mambo, mazingira mengi ambayo kwa njia moja au nyingine hupelekea tabia hii, ila muanzisha uzi kaongelea shule za bweni.
 
Hakuna kitu kama hicho ndugu mleta mada. Swala la ushoga kuchochewa na shule za bweni za kiume tena za serikali haiwezekani ndugu mimi nimesoma huko shule tofauti tena boys tupu. Kule ndugu yangu unafundishwa roho ngumuu ya uvumilivu, fikilia tuu huko kupata ugali hadi upigane sasaa huo ulegevu wa kishoga utaupata wapi. Msalato girls walikua wanaletwa na hamasa ipo kila mtu awe na demu kule. Iringa girls ivo ivo, Tabora girls ivo ivoo wanapelekwa boys kucheza mziki na kubadilishana mawazo na kutongozana. Ushoga ni ufala tuu wa mtu binafsi.
Mwelewe mwanzisha uzi, umeeleza uzoefu wako, na umetaja kuwa mlikuwa mnachanganywa na wasichana wa Msalato n.k. ndivyo anavyoshauri mwanzisha uzi, kuwa wachanganywe wasiachwe wenyewe kwa kipindi kirefu.
Mambo ya kuwa ngangari, kugombea chakula na kutokuonewa yapo bwenini na ni ya kupita, yana mwisho kila baada ya mhula. Hali kama hii iko katika magereza yetu pia, tofauti ni kuwa kule hawana mapumziko, ni hali ya kipindi kirefu na ya moja kwa moja, wala hawana kuletewa wanawake wawaliwaze. Je utashangaa kwamba wanageuzana wenyewe kwa wenyewe au huko unakosema kuwa ngangari na kugombea chakula, wengine ndio wamepata nafasi ya kutumia nguvu zao kuhodhi chakula chote na kukigawa kwa mwingine aliyekosa kwa makubaliano ya kumgeuza. Sasa hayo si ya kupita kama iliyokuwa shuleni kwenu, bali ndio maisha yao kwa miaka na miaka bila ya mapumziko.
 
Nashukuru kwa kumuelewesha mkuu maana nilikuwa nawaza nitaanzaje kumwelezea mpaka aelewe mada ina content ya kutowaacha peke pekee tu kama wao walikuwa wanaletewa mademu hiyo ndio njia sahihi ya kuchanganywa
 
Mwelewe mwanzisha uzi, umeeleza uzoefu wako, na umetaja kuwa mlikuwa mnachanganywa na wasichana wa Msalato n.k. ndivyo anavyoshauri mwanzisha uzi, kuwa wachanganywe wasiachwe wenyewe kwa kipindi kirefu.
Mambo ya kuwa ngangari, kugombea chakula na kutokuonewa yapo bwenini na ni ya kupita, yana mwisho kila baada ya mhula. Hali kama hii iko katika magereza yetu pia, tofauti ni kuwa kule hawana mapumziko, ni hali ya kipindi kirefu na ya moja kwa moja, wala hawana kuletewa wanawake wawaliwaze. Je utashangaa kwamba wanageuzana wenyewe kwa wenyewe au huko unakosema kuwa ngangari na kugombea chakula, wengine ndio wamepata nafasi ya kutumia nguvu zao kuhodhi chakula chote na kukigawa kwa mwingine aliyekosa kwa makubaliano ya kumgeuza. Sasa hayo si ya kupita kama iliyokuwa shuleni kwenu, bali ndio maisha yao kwa miaka na miaka bila ya mapumziko.
Mkuu nilimwelewa mwanzisha uzi na ndo mana nikasema kwa shule za boarding za wavulana serikali hua kuna muda yanakuwepo matamasha ya kuwachanganya pamoja hawa vijana kutoa misongo ya mawazo. Mambo haya mkuu yapo kalkuletedi muda mkuu wataalamu walishafahamu muda madhara ya kuwaweka upweke hawa vijana peke yao na ndiyo wakaja na solusheni hiyo. Swala la kupigwa ni ufala tuu ambao anakua nao muhusika labda amerithi kwa mababu zake meyi bi walikua wanapigwa. Hivi mfano kijana yupo Tabora boys anashindwa nini kujichanganya na msichana wa Tabora girls mwenye genye badala yake arukie kinyeo cha mvulana mwenzie. Mkuu labda boarding boys za private mkuu ndo zitachochea mambo haya maana zizifaamu sawa sawa lakini kwa uzoefu wangu kwa shule za serikali mbili nilizosoma asee hazichangii. Narudia tena kusisitiza kua mtoto wa kiume kupigwa ni ufala alotoka nao nyumbani kwao lakini siyo boarding kajifunzia boarding. Mkuu boarding kuna kitu inaitwa nyento mkuu watoto marijali wanatelezesha mabafu tuu haya mambo ya kupigana vinyeo hakuna ufala huo na ikitokea kwa nadra basi chanzo siyo boarding ni ufala tu wa muhusika.
 
Back
Top Bottom