Kwanini umpe mwanamke hela?

Unapojifunga wewe ni kumwambia neno UPENDO.
sijui hata kama unaelewa?
Kama ukitaka ngono ipo tu na Pesa yako.
Kitu kama unakipenda hutaacha kukipigania.
Pale pale mwanzo ulipomtongoza ungemwambia mimi nimekutamani hapo angejua anapambana kivyake
 
Kwani mkuu swali rahisi

Nani alianza kumtongoza mwenzake? Wewe si umemwambia unampenda?
Kwani maana ya kupenda kitu hujui[emoji23]?
Ujasiri wa kutongoza unatokana na haiba tu za kibinadamu, sio rahisi kwa mwanamke kumfungukia mwanaume labda ataonesha ishara tu then mwanaume ndo ajiongeze. Kuna wanaume wanatongozwa na wanawake kwa njia mbalimbali je ni sahihi kwa hao wanaume kuwapelekea invoices za mahitaji yao hao wanawale wanaowatongoza?
 
sasa utapataje 0659?
 
Wapo wanawake wanaotongoza wanaume kuna mshkaj kakuwekea uzi pale juu nilifikir umeusoma.
Kasema hivi

Mwanamke anayependa kuhudumiwa anaendana sambamba na mwanaume anayependa kulelewa marioo
Mwanamke asiemtii mwanaume wake anaendana na mwanaume asiye na upendo na mke wake
Maanamke aliyepo kwenye mahusiano sababu ya pesa anaendana na mwanaume aliyepo kwenye mahusiank sababu ya kutaka mapenzi tu.
Ule uzi nilkikuwa sijauona ila jamaa kaandika vzru san
 
Umesema kwamba mwanaume kuanza kumtongoza mwanamke ndio justification ya kutakiwa kumuhudumia uyo mwanamke, nikakuuliza kama kigezo ni kuanza kutongoza je mwanamke akianza kumtongoza mwanaume ni halali kwa uyo mwanaume kutaka kutimiziwa mahitaji yake na uyo mwanamke?
 
Ni halali kwa sababu kampenda.
Nafikiri unachoelewa wewe upendo ni kufanya ngono tu hapo ndipo unapokosea😂😂
Na wapo wanaume wanalelewa kwa sababu walitongozwa na wanapendwa kwani mkuu wewe huyasikiagi?
 
Mtu unayempenda haumlipi unamuhudumia sababu ya upendo wako kwake
Unayemlipa ni kahaba au malaya
Ukilipenda ua lazima i ulinyeshee maji asubuhi na jioni ili liendelee kupendeza.

Umeelewa tofauti na kulipa na kuhudumia?
Mkuu hapa kilichobadilika ni jina tu kwa mwanamke mmoja malipo yanaitwa bei na kwa mwanamke mwingine malipo hayo hayo yanaitwa huduma, kwa kifupi wanawake wote hao ni makahaba wametofautiana mbinu tu.
 
Mkuu hapa kilichobadilika ni jina tu kwa mwanamke mmoja malipo yanaitwa bei na kwa mwanamke mwingine malipo hayo hayo yanaitwa huduma, kwa kifupi wanawake wote hao ni makahaba wametofautiana mbinu tu.
Unajua unapokosea wewe ni katika siku uliyomtongoza. Ulimwambiaje?
Tuanzie hapo ili nikufundishe uone🤣
 
Ni halali kwa sababu kampenda.
Nafikiri unachoelewa wewe upendo ni kufanya ngono tu hapo ndipo unapokosea[emoji23][emoji23]
Na wapo wanaume wanalelewa kwa sababu walitongozwa na wanapendwa kwani mkuu wewe huyasikiagi?
Mwanaume kulelewa iyo ni mbaya sana. Kupigwa tafu na mkeo kipindi umeyumba kiuchumi ni sawa but you have to fight mambo yako yasimame
 
Bila kusoma[emoji28]

KWANINI USIMPE MWANAMKE WAKO HELA?
Kwa sababu umemuheshimu kwa kumuona ana nguvu na akili za kujitafutia mwenyewe, kumpa mwanamke hela wakati amepewa access zote za kujitafutia mwenyewe uko ni kumdharau na kumuona she is good for nothing.
 
Ni sahihi. Na kuna wanaume wengi tu wanafanya hivyo, Waulize mashangazi wakuambie.

If you have what it takes tulia utahudumiwa hamna haja ya kutumia nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…