Kwanini ulipigwa marufuku?

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,693
Ule wimbo " Wanawake wazuriwazuri wameolewa... wamebaki Manunga Embe yanahangaika"
 
Walisema unawadhalilisha walio manungaemebe. Lakini hawakusema ubaya wake kwa hao walio wazuri
 
Walisema unawadhalilisha walio manungaemebe. Lakini hawakusema ubaya wake kwa hao walio wazuri

Mbona manungaembe wanafurahia kuwa hivyo sasa ubaya nini??

Mbona Nyambizi haukupigwa marufuku
 
Waimbe na mwingine kwa Mashoga wabaya ambao hawajaolewa..........

Labda huo hautapigwa marufuku.
 
Waimbe na mwingine kwa Mashoga wabaya ambao hawajaolewa..........

Labda huo hautapigwa marufuku.

Umekosea " mashoga mabaya yaliyoolewa..............."
 
1.wale walioolewa walikuwa wanawaimba wasioolewa.
2.wimbo wenyewe ulikaa kishari shari;mfano
1.wanawake wauri wameolewa/wanaolewa
2.wasioolewa/wabaya......manungayembe.
........kuna uwezekano ndizo sababu zilizopelekea kupigwa stop.
 
Bahati mbaya iliyoukuta huu wimbo huko serikalini juu kulikuwa na manungayembe mengi tu..........enzi unafytauliwa:becky::becky::becky::becky:
 
Bahati mbaya iliyoukuta huu wimbo huko serikalini juu kulikuwa na manungayembe mengi tu..........enzi unafytauliwa:becky::becky::becky::becky:

nakumbuka wahishimiwa walioingia bungeni wakati ule... walioooa walikuwa na wake zao na waliwatambulisha... hali ilkuwa sivyo kwa wanawake hadi spika akahoji...!!
 
Bahati mbaya iliyoukuta huu wimbo huko serikalini juu kulikuwa na manungayembe mengi tu..........enzi unafytauliwa:becky::becky::becky::becky:

Dah niko hoi hahaha:becky::becky::becky::becky::becky::becky:
 
duuuu kaz ipo aiseee jf inanifurahisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…