Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Mwanzo niliacha bila sababu nilijua nitarejea ila baada ya kujua ukweli kwamba roman catholic ni miongon mwa secret societies, na madhebu yote yalianzishwa na watu baada ya kuhasi kanisa la roman catholic, nimeapa kwamba sito kwenda kanisani na kama nitaenda basi nitaenda kimwili kuifurahisha jamii na si kiroho( vatican wana siri nyingi mno)
 
Kwamba hata siri za uhalisia wa kuumhwa dunia wao wanazo? Hata siri za Mungu wao wanazo? Hiyo nilisikia pia, kuwa ni full ujasusi wa hatari sana.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Zab 1:1-2 SUV
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
 
Msikitini ;-Nilichoka kutawadha hasa asubuhi halafu swala zinachosha sana asubuhi,dhuhuri,alasiri,magharib na usiku saambili!

Kanisani😛igwa tukio MOJA na askofu, mwenyekiti wa kanisa,mchungaji wangu MMOJA hivi,halafu kuna uzi mwembamba unaotenganisha Kati ya kumtolea Mungu na kuwachangia WATU wanaojiita watumishi wa Mungu!halafu usanii mwingi sana!!

Kuna mama MMOJA ALIKUA anakuja chuoni kuomba msaada kanisani, lakini walimfanya kuwa wa MWISHO kabisa kutangaza shida zake na sadaka kumchangia wakati tushatoa KWA hio akawa hapati kitu kivile! Nikajiuliza kwanini wasichote HAYA ma laki tunayotangaziwa KILA jumapili wakampa HATA kidogo,yule mama alikuja akafiwa na mtotoambae michango haikutosha kutibiwa pia yeye akafa na tukatangaziwa!HADI leo HUWA nahisi wanachuo NDIO tulimuua yule mama KWA kuendekeza sadaka ziende huko kkt makao makuu kuliko kumpa akatibiwe!!FAMILIA ILE ILIKUFA YOTE NA HAKUNA CHA MAANA TULIFANYA!NILIUMIA SANA!!

MAKANISA HAYA NI YA MCHONGO!!

JAMAA MMOJA FPCT NAE ANAJIFANYA KAJAZWA ROHO MTAKATIFU ALIKUA FUNDI!KUMBE ALIKUA ANANIIBIA CEMENT NA NONDO NA KUUZA NA KANISANI ANAHUBIRI!!

MSITUONE WAOVU TUMETOKA MBALI SANA!!!

NB

Namuomba Mungu nyumbani KILA siku asubuhi au jioni!!
 
Brother hivi wewe siyo lecturer kweli?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahh kanisani wana mlolongo wa sadaka kama 5 hivi na zote wanataka noti sio miatano wala mia mbili. Ukijidai muumuni bora unaacha zaidi ya 5k kwa j2 moja
 
Ni tukio gani hilo ulipigwa church? Lilihusu hela?


Anyway now unatoa wapi sadaka zako?


Unaamini Biblia na kufuata aliyosema Yesu?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
I guess 90+% you are a lecturer somewhere brother.!

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Imani hazipo katka Dini, fungua akili yako Em fany pitia vizuri maandiko ya kitabu cha Dini yako alaf uone mkanganyiko uliopo humo,

ukishindwa sema tukusaidie kuuona huo mkanganyiko na uongo wa vitabu vya Dini.
Utamuonyesha mkanganyiko kupitia maandiko katika vitabu vya dini yake (very well )

Muonyeshe pia usahihi kupitia maandiko katika imani yako wewe. (prove him wrong )

Ukishindwa kutumia maandiko kumuonyesha usahihi ya kile unachoamini, huwezi kuwa sawa kutumia maandiko anayoyaamini yeye kumuonyesha mkanganyiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…