Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Kazi ndogo sana hiyo.
Alikuwepo.
Yupo.
Atakuwepo milele.
He is the ancient of days.

Kazi ya kukuaminisha naiweka kwenye file lenye jina PROJECT MSHAMBA HACHEKWI.

Hili file likikamilika lazima uje tuimbe wote kwaya.
Nataka kujiunga na kwaya yenu
 
Kuna muda huwa inatubidi kufikiri mbali zaidi, ili kupata majibu yasiyojibika
 
Wako sahihi kufunguka ila umenikumbusha kitu, siku moja tulikuwa kwenye harusi ya kiislam nami nilikuwa mwanakamati kwenye bajeti zilikuwepo na bia na zikanunuliwa na kuletwa ukumbini lkn cha ajabu sikuona hata chupa moja ya bia kwenye meza ya mtu lkn mwisho wa sherehe kreti zilrudi tupu.
 
Tembea uone ndugu.
 
Na wengi tuko hivyo, ni sababu za kijamii tu wala hakuna la ziada na unashauliwa kwenda kanisani au kujishughulisha na mambo ya kanisa pale unapostaafu shughuli za kiserikali, hii usaidia sana kuongeza umri.
 
Kwanza kitendo cha Mungu kumtoa mwanae kafara, binadamu watoe kafara na Mungu atoe kafara. Tena Mungu alianza na binadamu akagundua swala la misukule. Nikagundua ni michongo tu ya wajanja. Sasa najikita katika imani yangu ya jadi.
 
Pastor aliniombea kwa mbwe mbwe sana akijua nna mapepo alivyoona sianguki akanisukuma kwa nguvu ili nidondoke, aisee hapo uvumilivu ulinishinda nilimtembezea kichapo, huo ndio ulikua mwisho.
Unachangamsha genge kwa stori za kijinga.
 
Nilipo gundua dini inanijenga niwe na hofu ya kitu nisichokijua na kunihusisha na ugomvi wa viumbe nisiowajua ,nakunishauri niamni tu huku wakichukua cheji zangu, nikigoma wanatishia hawatanizika as if wakiniacha bila kunizika ni shida zangu.
Sababu za kijinga mno
 
Na wengi tuko hivyo, ni sababu za kijamii tu wala hakuna la ziada na unashauliwa kwenda kanisani au kujishughulisha na mambo ya kanisa pale unapostaafu shughuli za kiserikali, hii usaidia sana kuongeza umri.
Aisee umetoboa mwamba sasa.! Ni kweli RC ina siri nyingi sana.
 
Hivi kanisani na misikitini kuna nini mwenye kujua anijuze ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…