Kwanini uliacha kwenda kanisani?


Ulimwengu Ulitakiwa Uwe Na Shida Na Dhambi Na Ndo Maana Ukaumbwa hivo,Ukiwa Hauna Hivo vitu Huo sio Ulimwengu
Yote Hayo Ni Kipimo Nani Ni Mbora Mbele Ya Mwenyezimungu,Hata Mwalimu shuleni Hutoa Mitihani Ili Kuona Ni Nan Mbora kati ya wanafunzi.
Kwani Hapendi Kuona Mnafaulu Awapitishe wote?

Uwepo wa Mungu Ni Kipimo cha wenye Akili ila waliokengeuka na dunia Hawawezi Ona Hilo.
Kila kitu Kina mwanzo Wake,Je Ni Upi Mwanzo wa Wanadamu,Dunia na Tusivovijua Kwa Undani?
 
Mungu alishindwa kuumba ulimwengu usio na shida na dhambi?

Umeusoma na kuelewa huo mchoro wa Epicurean Paradox?

Umesoma hiyo part ya "The Problem of Evil" kutoka hicho kitabu cha "Philosophy of Religion:An Anthology" nilichokiweka hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…