Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Wewe ni CIA hata sikujui... na guess huenda nimewahi kukuona ila sijui kuwa ndiyo wewe[emoji38]
Itakua ni wengi wamewahi kuniona, na hata kunijadili kwa picha zangu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila hawajui ndo mie, kuna app nilikuta picha yangu inajadiliwa, nkaunga na mie kuijadiliii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] Bichwa Komwee hivi unalea watoto kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amadi, I reserve my comment.

TAARIFA KWA UMMA:

Kuanzia leo nitakuwa naitwa BICHWA MOKWEE a.k.a BICHWA BAPA badala ya BICHWA KOMWEE kama ilivyozoeleka hapo awali.

Napenda kuutangazia umma kwamba nimestaafu rasmi cheo cha UKOMWE, hivyo basi nitabaki kuwa mshauri tu ndani ya IDARA ya MABICHWA KOMWE.

Asanteni kwa kunisikiliza.
 
Hahahahahahaha walikuwa wakiijadili kisa ina kishundu au?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni lecturer, na kama siyo kazi yako inahusiana mno na u lecturer! Trust me.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…