mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,856
- Thread starter
-
- #401
Hahahah JF ilikuharibu au siyo? Watu wanashusha vitu au siyo?[emoji23]Baada ya Imani kufa... Kiukweli jf ilinifanya nikashindwa kuamini kilakitu
HahahahUlijuaje kama nishaacha kwenda kanisani?!?!? Au nawe ni nabii? Any way niliacha kwasabu ya sadaka!!!
Hahahahah sadaka tu? Were you serious?Ulijuaje kama nishaacha kwenda kanisani?!?!? Au nawe ni nabii? Any way niliacha kwasabu ya sadaka!!!
Magonjwa ya moyo kivipi tena?Kwa utafiti wangu mdogo, kanisani nenda tu ku socialize, otherwise unaenda kutafuta magonjwa ya moyo! Mungu muombe kivyako
Kwamba yanaingia mifukoni mwake yeye binafsi au?Tuipoambiwa tuchangie Ujenzi wa Kanisa kuwa ni Jengo letu lakini mapato ya Hospitali na Shule ni ya Mtume peke yake tena Wala hayachangii hata tone Kanisani...
Kumbe unaenda ili tu kuwa fool watoto wako? Yaani unawazuga tu au siyo?[emoji3][emoji23][emoji23]Niliacha for yrs, lakini for the sake of my kids ngoja tu niende. Sitaki wawe wapagani.
Niliacha pale mchungaji wa kanisa letu kanisa maarufu tu alipo fumwa na mke wa mzee wake wa kanisa ndani ya ofisi ya kanisa wakilana uroda saa 3 usiku, nikaacha nakusali hapo hapo tangu 2008 hadi sasaHeri ya Jumapili kwa nyote.
Niende madani sasa.
Kwa nini uliacha kwenda kanisani mpaka leo hii? Ni nani au nini kilikufanya usiende tena kanisani? Mbona ulikuwa muumini mzuri tu na ulikuwa kiongozi wa vijana? Mbona ulikuwa kiongozi wa kwaya nk?
Unaweza ku share hapa sababu hasa iliyokupelekea ukaacha kwenda kanisani? Je, uliona ni usanii tu?
Karibu!
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Hata mimi kwenye kanisa nimepita, lakini wewe bado uko off point.Soma post yako ya kwanza na nilichojibu kwa kina,hakuna mahali ambapo nimezungumzia kanisa specifically,qlq usinipeleke huko ,
Na hujutii kutosali au unajutia? Je, huwa unasali peke yako?Niliacha pale mchungaji wa kanisa letu kanisa maarufu tu alipo fumwa na mke wa mzee wake wa kanisa ndani ya ofisi ya kanisa wakilana uroda saa 3 usiku, nikaacha nakusali hapo hapo tangu 2008 hadi sasa
Sasa watu kusema ukweli wao ni vibaya? Toto lako kuwa shoga ni ujinga wake na si wa wewe mzazi. Kwani halina akili? Kwani lina miaka 4? Si lina 18+ huko?UKisoma comments humu utajua tuna kizazi aina gani
Na hili ndio taifa la kesho
Na ndio wazazi walezi wa watoto
No wonder utovu wa nidhamu na maovu yamekua kwa kasi sana.
Mashoga wanaongezeka na kujitangaza waziwazi
Watu hawaoni aibu kutangaza tabia zao ovu [emoji1487][emoji23]
Mungu uturehemu na kutusaidia
That's according to you mkuu!Kumbe unaenda ili tu kuwa fool watoto wako? Yaani unawazuga tu au siyo?[emoji3][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Sasa si umesema mwenyewe mkuu? Kwamba acha tu uende ili watoto wasiwe wapagani.[emoji38]That's according to you mkuu!
Endeleeni kusema ukweli kusifiana na kuchekelea ujinga mkijificha kwa ID hiziSasa watu kusema ukweli wao ni vibaya? Toto lako kuwa shoga ni ujinga wake na si wa wewe mzazi. Kwani halina akili? Kwani lina miaka 4? Si lina 18+ huko?
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Uliwezaje kugundua?Kwa sababu niligundua Mungu hayupo na habari za kuwapo Mungu ni hadithi za kutungwa na watu tu.
Niligundua hivyo baada ya kufikiri sana kuhusu "the problem of evil", yani jinsi gani Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya, dhambi na shida ni contradiction, na mpaka leo hakuna aliyeweza kutatua contradiction hii.
Zaka, sadaka, shukrani, michango, harambee ya kuchangia gari la mchungaji. Nk!Heri ya Jumapili kwa nyote.
Niende madani sasa.
Kwa nini uliacha kwenda kanisani mpaka leo hii? Ni nani au nini kilikufanya usiende tena kanisani? Mbona ulikuwa muumini mzuri tu na ulikuwa kiongozi wa vijana? Mbona ulikuwa kiongozi wa kwaya nk?
Unaweza ku share hapa sababu hasa iliyokupelekea ukaacha kwenda kanisani? Je, uliona ni usanii tu?
Karibu!
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Kwani mtu kuacha kwenda kanisani ni tabia chafu? Unaelewa maana ya kanisa? Wangapi wanakwenda kanisani na ni wazinifu? Huna hoja[emoji23]Endeleeni kusema ukweli kusifiana na kuchekelea ujinga mkijificha kwa ID hizi
Ila Nyoka hazai kondoo
Tafakari tabia zako halafu ndio vyakurithi vinazidi [emoji2][emoji2][emoji2]
Kizazi cha Hovyo sana ninyi
HahahahahahahahahahahZaka, sadaka, shukrani, michango, harambee ya kuchangia gari la mchungaji. Nk!
Kwani mtu kuacha kwenda kanisani ni tabia chafu? Unaelewa maana ya kanisa? Wangapi wanakwenda kanisani na ni wazinifu? Huna hoja[emoji23]
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app