bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,343
- 25,326
Kwa sababu ulimwengu si milele ndo maana unaona shida zipo.Kwa sababu niligundua Mungu hayupo na habari za kuwapo Mungu ni hadithi za kutungwa na watu tu.
Niligundua hivyo baada ya kufikiri sana kuhusu "the problem of evil", yani jinsi gani Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya, dhambi na shida ni contradiction, na mpaka leo hakuna aliyeweza kutatua contradiction hii.
sasa huoni mada hapo juu inahusu kkkt ambako wamezidi kwa michango mpaka kwenye jumuiya zake mitaani? Jifanye hutoi uone nini kitakutokeaMi nasali kkkt..
Hayo ya kilokole niliacha
Wataje mkuu kwa faida ya wengiMtoto mwanaume mwenye fimbo ya chuma aliyetajwa kwenye ufunuo unamfahamu ni nani? Na mwanamke aliyevikwa jua na mwezi je?
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Michango mingi sanaHeri ya Jumapili kwa nyote.
Niende madani sasa.
Kwa nini uliacha kwenda kanisani mpaka leo hii? Ni nani au nini kilikufanya usiende tena kanisani? Mbona ulikuwa muumini mzuri tu na ulikuwa kiongozi wa vijana? Mbona ulikuwa kiongozi wa kwaya nk?
Unaweza ku share hapa sababu hasa iliyokupelekea ukaacha kwenda kanisani? Je, uliona ni usanii tu?
Karibu!
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Wapi huko nenda kwa makanisa ya kweli achana na hayo.Michango imezidi sana, michango yenyewe hainufaishi waumini moja kwa moja, mara mchango wa ujenzi, mara kiwanja, mara gari wakati we huna nyumba huna baiskeli huna biashara, hela inatakiwa tu. Usipotoa utatengwa au kupakaziwa una dhambi ufukuzwe
Kumbe wewe na COCA ni UDUGU a.k.a MTU MOKO? [emoji85][emoji85]
Tatizo unajihukumu unadhani Mungu hawezi kukupokea kwasababu ya dhambi yako,lakini yeye anatupokea ijapo dhambi zetu ni nyekundu kama bendera usipokwenda kanisani unakufa kiroho kitu ambacho ni hatari.Shetani amenikamata kwenye suala la ngono
Kwenye mada sijaona km kataja dhehebu!sasa huoni mada hapo juu inahusu kkkt ambako wamezidi kwa michango mpaka kwenye jumuiya zake mitaani? Jifanye hutoi uone nini kitakutokea
Njoo tukazane mpaka vikojoleo vilipuke kama bomu.
Elimu Bora ni ghali,Sasa hao watoto watakula chai na andazi hao walimu watalipwa laki 3.Hahahahaha watu mmeanza kutiririka sasa... kwa nini shule zao zinajengwa kwa sadaka na michango ya waumini (wakati mwingine hata kwa kuwalazimisha kuchangia), ila ada ni sawa kwa Wakristo na wasio Wakristo? Sasa kuna faida gani ya kuchangia? Watoto wa waumini wanafaidiakaje japo kwa uchache tu? Ni wenye pesa pekee ndiyo husoma shule hizo. Mfano ni Loyola nk!.
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Mimi nina papuchi lakini sijakasirika.
NitarudiElimu Bora ni ghali,Sasa hao watoto watakula chai na andazi hao walimu watalipwa laki 3.
School bus atalipa nani.
Wapi penye elimu Bora pakawa na ada ya kata.
mama tamuu ktk moja na mbili.
Tuanzisheni chama chetu cha mashoga wa mtandaoni[emoji1787].
Mi najitangaza kabisa.
Jamani eeh mimi Clepatina
ni mwanaume nina ndevu na misuli.
Nina tukalio tudogo tugumu,tukavu,tumekauka na kusinyaa[emoji1787][emoji1787]
Wenzangu ni cute mke,kokakola ,mimihamadiweyupi, na ......
Cute mke huyooo.Mkuu una tukalio tupi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
KKKT mkuu.Una Sali kanisa gani???