Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Duh! Kwahiyo mimi uduguu cocastic na muda huo nakuwa amadi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi nilishasema anayesema cute wife dume aje nimkaze shida iko wapi? Mbona fresh tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe wewe na COCA ni UDUGU a.k.a MTU MOKO? [emoji85][emoji85]
 
Kwakweli umenifikirisha sana ..
 
Si nakusomaga kwenye comment zako[emoji23]

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app

Mimi sinaga shida na maboya watakavyosema chochote sawa tu! Kwanza hakuna anayenijua zaidi ya mtu mmoja tu humu!

Sasa kupoteza muda wangu kumuaminisha mtu mimi nani? Ni kupoteza rasilimali muda
Asiyeamini nishatoa go ahead aje nimkaze asijipe shida ya kubet [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimenyoosha mikono jamani nisameheni

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
mama tamuu ktk moja na mbili.

Tuanzisheni chama chetu cha mashoga wa mtandaoni🤣.
Mi najitangaza kabisa.
Jamani eeh mimi Clepatina
ni mwanaume nina ndevu na misuli.
Nina tukalio tudogo tugumu,tukavu,tumekauka na kusinyaa🤣🤣
Wenzangu ni cute mke,kokakola ,mimihamadiweyupi, na ......
 
Yapo makanisa,na watumishi wa hivyo km wa kanisa la kwanza, ila ni wachache
 
Heshima kwako.

SASA mkuu wewe ukifa watakuzika Kwa taratibu gani???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kweli hii ni JF[emoji23]

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu una tukalio tupi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…