Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,867
- 8,630
Na huo ndo msamiati wanaotumia Viongozi wenu wa dini ili kuwafanya msijue ukweli wala kudadisi chochote juu ya Uozo wa Huyo Mungu mnayemuabudu kwenye hizo Dini.Usiichukulie dini kama technical term...
It's Faith. Mbona unafanya complications
Tuanze na wewe amadi kwanini huendi msikitini na ulikuwa mvaa kobazi mzuri tu hapo awali?
Hahaha hizi ID fake bhana raha sanaUnaweza kuwa kwani shida iko wapi bro [emoji23][emoji23]
HahahahahAkubali tu km wewe shida iko wapi? Si ndio vzr anapata wapenzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee umeniamulia[emoji23]... so mimi na wewe ni ID mbili zinabishana au siyo?Wewe ni cute wife kwanini unakataa bana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mambo mama tamuuu aka cute mke[emoji1787].
Mi nasali kkkt..unajua uongo? We unasali makanisa gani usiyeyajua haya, huenda we ni mtoaji mkubwa hujawahi kuona watu wakitengwa kwa kuwa wagumu wa kutoa
Unakutana na watu Wana hali mbaya mno pale kanisani, wengine wagonjwa mno na hela hawana,
Afu unakuja kuambiwa eti tumchangie mchungaji gari
Alaaaa huu ni upuuzi
Ulikuwa na cheo na unaaminiwa kabisa kanisani na ukaacha kwenda?Daaaah umenigusa mimi kabisa
Aisee umeniamulia[emoji23]... so mimi na wewe ni ID mbili zinabishana au siyo?
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
RC pombe si wanaruhusiwa kunywa au?Jirani yangu kuna mganga wa kienyeji, sasa kuna siku nazunguka na wife, namuona mganga na mchungaji, wanaagana mchungaji anarudi kigoma, duh
Jirani yangu ni mama mchungaji aisee roho mbaya, matusi na madeni yanamsumbua, mpaka wapate sadaka ndio alipe
Yote padri kutembea na waimba kwaya wote wa kike, Padri kutembea na mke wa mtu hadi jamaa kwenda kwa Askofu kumsemea, mwisho Padri kulewa mpaka askari wa doria usiku wanamkamata ndio wanashtuka heee Father?
Roho imekuwa ngumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo hela za kumchangia gari mchungaji bora nikawape watoto yatimaHalafu kama ni msomaji wa Biblia mzuri utagundua kanisa la akina Paulo halikuwa hivi, waliwajali mno masikini na waumini walalahoi. Halikuwa na ubaguzi.
Wajinga ndiyo waliwao boss[emoji38] though ni mchungu mno uhalisia huu
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimenyoosha mikono jamani nisameheniMambo mama tamuuu aka cute mke[emoji1787].
Wamesema kunywa lakini usilewe, hapo ndio kuna tofauti ya mlevi na mnywaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe kichwa kibovu mnoSasa km umepewa cheo cha cute wife why ukatae?!! We kubali bro waje pm upige mpunga, kuna maboya wengi wanasumbua [emoji23][emoji23][emoji23]
DahEee sisi mapacha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SafiHizo hela za kumchangia gari mchungaji bora nikawape watoto yatima
Lasivyo bora nipigie bia