Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Wafuasi wamekonda kutokana na kukamuliwa vilivyo au siyo?[emoji23][emoji23] ila life is not fair at all! Watoto wa pastors wengine wanasoma shule bora kabisa... watoto wa waumini wanapigwa na kwashakoo

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
🤔🤔
 
[emoji38] aiseeeee

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 

Duh! Kwahiyo mimi uduguu cocastic na muda huo nakuwa amadi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi nilishasema anayesema cute wife dume aje nimkaze shida iko wapi? Mbona fresh tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Michango imezidi sana, michango yenyewe hainufaishi waumini moja kwa moja, mara mchango wa ujenzi, mara kiwanja, mara gari wakati we huna nyumba huna baiskeli huna biashara, hela inatakiwa tu. Usipotoa utatengwa au kupakaziwa una dhambi ufukuzwe
hio sio sababu ya kutokwenda sababu kutoa ni hiari fanya kile moyo wako unaona amani japo kuna michango n lazima kutoa kama sadaka, fungu la kumi kuhusu ujenzi ni kwa ajili yako ww sasa utasali kwenye nyumba gani usipojenga!!!au hata kama n kuwasaidia wengine ujenzi n sawa kikubwa hamna anaekulazimisha.
Kwenda kanisani ni lazima .
 
Jirani yangu kuna mganga wa kienyeji, sasa kuna siku nazunguka na wife, namuona mganga na mchungaji, wanaagana mchungaji anarudi kigoma, duh
Jirani yangu ni mama mchungaji aisee roho mbaya, matusi na madeni yanamsumbua, mpaka wapate sadaka ndio alipe
Yote padri kutembea na waimba kwaya wote wa kike, Padri kutembea na mke wa mtu hadi jamaa kwenda kwa Askofu kumsemea, mwisho Padri kulewa mpaka askari wa doria usiku wanamkamata ndio wanashtuka heee Father?
Roho imekuwa ngumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…