Oooow' sorry,Thank you
Kwanza ulitakiwa kujibu Amen
Naona kama tunaongea lugha moja now.
Kwenda kanisani kunatakiwa kuwe na maandalizi ya kimwili na kiroho. Watu hao wanaona wakienda kanisani watamiss maandalizi ya kiroho na mwisho wa siku wanakua wamefanya kazi bure.
Ndo maana wanaona watumie muda huo kusali nyumbani au kwenye jumuiya.
Asante
mkuu wewe ni shahidi wa yehova?Kwa Nini Mashahidi wa Yehova Hawajihusishi na Siasa?
Kwânza kibiblia ibada sio mpâka kanisani...na sio lazima kwenda kanisani..ni kautaratibu tu ka wataka sadaka ndo wametukaririsha hvo lazma mtu aende kanisan wakati kanisa sio jengoOooow' sorry,
A huge Amen to that...!!
Mimi na wewe hapa tunaelewana vizuri kabisa kuwa kwenda ibadani ni suala la kujiandaa kimwili na kiroho, I second you on this..!!
Ila ninachopingana na wadau hapa ni suala la 'kuacha kabisa', siyo kwamba hawaendi this Sunday sababu hawajajiandaa hell nuh'.. Differentiate the two, ni kuwa wao na kanisa ni mbingu na ardhi, na wanataka kulifanyia justification hilo kuwa wapo sahihi..!
Bado kusali nyumbani ama kwa jumuiya haileti uzito kama wa kuhudhuria ibada Bio...!!
In one way or another it means wamekosa imani na wachungaji au mapadri wanaowangoza.Oooow' sorry,
A huge Amen to that...!!
Mimi na wewe hapa tunaelewana vizuri kabisa kuwa kwenda ibadani ni suala la kujiandaa kimwili na kiroho, I second you on this..!!
Ila ninachopingana na wadau hapa ni suala la 'kuacha kabisa', siyo kwamba hawaendi this Sunday sababu hawajajiandaa hell nuh'.. Differentiate the two, ni kuwa wao na kanisa ni mbingu na ardhi, na wanataka kulifanyia justification hilo kuwa wapo sahihi..!
Bado kusali nyumbani ama kwa jumuiya haileti uzito kama wa kuhudhuria ibada Bio...!!
Uko vizuri watakao bisha wasome kitabu cha matendo ya mitume,Kwânza kibiblia ibada sio mpâka kanisani...na sio lazima kwenda kanisani..ni kautaratibu tu ka wataka sadaka ndo wametukaririsha hvo lazma mtu aende kanisan wakati kanisa sio jengo
jina lako limenikumbisha mbali...kunywa maji moyo uelee kurutu wa MunguUko vizuri watakao bisha wasome kitabu cha matendo ya mitume,
Ebrania 10:25Uko vizuri watakao bisha wasome kitabu cha matendo ya mitume,
Ebrania 10:25Uko vizuri watakao bisha wasome kitabu cha matendo ya mitume,
Kama ni mkristo na bado unaiamini Biblia soma Waebrania 10;24-25 na Matendo 2;46-47 mistari mingine watakupa wajuvi!!Kwânza kibiblia ibada sio mpâka kanisani...na sio lazima kwenda kanisani..ni kautaratibu tu ka wataka sadaka ndo wametukaririsha hvo lazma mtu aende kanisan wakati kanisa sio jengo
Kuelekea uchaguzi rais alisali kanisa la Sabato Magomeni.
Kafanyaje mkuu?
Hakuna aliyeweza kuyaelewa yote ktk biblia ndiyo maana kila siku tunajifunza...
Hujayaelewa yote ndiyo maana ukaacha kwa sababu ya walimu unawaona kuwa vipofu..tafuta walimu