Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,304
- 159,396
Mkwe haupaswi kuuliza maswali ujue, we unatakiwa utume pesa tu.😂Hahahaha mkwe hii kiboko, hizo panadol za ujerumani au ni zile zile za Kenya?
Mkwe haupaswi kuuliza maswali ujue, we unatakiwa utume pesa tu.😂Hahahaha mkwe hii kiboko, hizo panadol za ujerumani au ni zile zile za Kenya?
Nimemfunza na ninazidi kumfunza, yaani utapata kitu bora kabisa mkwe.Niombee uzima tu mkwe, ahadi ya kuja kumchukua binti iko pale pale. Sema umfunze adabu mapema.
Yeah ubishi bishi kwangu mwiko, ajue kufuata kanuni nazompa tu for Gods sake!Nimemfunza na ninazidi kumfunza, yaani utapata kitu bora kabisa mkwe.
HahahNyodo zimekua nyingi tangu nimsfie kua ni mzuri, natuma meseji yenye content zaidi ya 50 yeye anakuja ku reply kesho yake na neno moja et "so" Nimepiga chini
Sent using unknown device
Ha ha ha ha sawa mkwe, huba nitolee.. mfuko niteketee!Mkwe haupaswi kuuliza maswali ujue, we unatakiwa utume pesa tu.😂
Ngoja nimuite mtu aje ajibu hapa,Swala hili limewatokea wengi, unampenda mdada, unamuomba awe girlfriend au muwe kwenye mahusiano,
Sasa ikitokea yeye alikuwa anakupenda ila alishindwa kukueleza hapo sawa mtakaa sawa ila kama hajawahi kukuona na hajakupenda basi kinachofuata ni yeye kutumia nafasi hiyo vizuriii kwa kukuomba hela na mengineyo kama njia moja wapo kupima uzima wa mfuko wako.
Au kuamua kukukimbiza au achote kwanza mpunga na ajue kama uko imara ndio labda akubali.
Anapokwambia umpe mpunga basi mwanaume unahangaika sana,utafanya juu chini ili apata anachotaka.
nauliza kina dada kwanini mnatunyanyasa.
View attachment 1004632
Tafuta pesa wewe...acha kulialia.Swala hili limewatokea wengi, unampenda mdada, unamuomba awe girlfriend au muwe kwenye mahusiano,
Sasa ikitokea yeye alikuwa anakupenda ila alishindwa kukueleza hapo sawa mtakaa sawa ila kama hajawahi kukuona na hajakupenda basi kinachofuata ni yeye kutumia nafasi hiyo vizuriii kwa kukuomba hela na mengineyo kama njia moja wapo kupima uzima wa mfuko wako.
Au kuamua kukukimbiza au achote kwanza mpunga na ajue kama uko imara ndio labda akubali.
Anapokwambia umpe mpunga basi mwanaume unahangaika sana,utafanya juu chini ili apata anachotaka.
nauliza kina dada kwanini mnatunyanyasa.
View attachment 1004632
Karibu
Wee Jamaa uko sahihi sana. Wanawake hawapendi hata Siku moja.aisee pole sana,nani alikwambia wanawake hua wanawapenda wanaume,wanawake woote ni wasanii tu,mimi nilishaacha kupenda,na usipowapenda utawala sana ,wanawake hawatakiwai kupendwa utaumia sana ndugu yangu mwanamme mwenzangu,wewe mtokee akizingua mwambie poa tusijuane na mawasiliano kata kabisa,nenda kwa mwingine ila wakati unawatokea usionyeshe kuwa umezimika kinoma,mambo ya i love u sana achana nayo usiwe kama wahindi mpaka wakimbizane kwenye maua.
fuata kanuni hii
fff[find,**** and forget]