Kwanini ukanunue Infinix Zero X Pro?

Kwanini ukanunue Infinix Zero X Pro?

Kama chipset inasaidia simu kutoisha chaji sana mbona iphone simu zake ni miongoni mwa ambazo hazikai na chaji na umesema chipset yak
Kutokana na mAh ndogo za battery ambazo iPhone anaziweka kwenye simu zake basi itoshe kusema kuwa simu hizo za iPhone zinajitahidi sana kukaa na chaji
 
Kutokana na mAh ndogo za battery ambazo iPhone anaziweka kwenye simu zake basi itoshe kusema kua simu hizo za iPhone zinajitahidi sana kukaa na chaji
Hoja ya mAh ndogo hua inapinduliwa kwa hoja ya "mAh siyo kila kitu kwenye simu kukaa na chaji" samsung huwa wanasema simu zao hazikai na chaji coz vioo vya AMOLED vinatumia nguvu mno.

Iphone nyingi LCD na bado hazikai na chaji
 
Jibu ni hili makampuni yoyote sasahivi yanayotoa simu frem iko flat na back side kuko flat hiyo design wameiga kwa iPhone 12 basiiii no mjadala jibu ndio hilo

Sema sababu ni easy kukopy, samsung edge display sijui kama infinix na tecno wanaweza poteza muda kuunda waje wakuuzie laki mbili.
 
Kutokana na mAh ndogo za battery ambazo iPhone anaziweka kwenye simu zake basi itoshe kusema kua simu hizo za iPhone zinajitahidi sana kukaa na chaji
Mkuu kinachobonda charge ni OS nzima ya simu na namna yake ya ufanyaji kazi.

Si bettery hata ram ya iphone ni ndogo sana ila perfomance ni kubwa.
 
sema sababu ni easy kukopy,samsungu edge dicplay sijui kama infinix na tecno wanaweza poteza muda kuunda waje wakuuzie laki mb

sema sababu ni easy kukopy,samsungu edge dicplay sijui kama infinix na tecno wanaweza poteza muda kuunda waje wakuuzie laki mbili.
Tecno phantom x wameiwekea edge display na ni super AMOLED bei yake ni 1,300,000
 
Kama chipset inasaidia simu kutoisha chaji sana mbona iphone simu zake ni miongoni mwa ambazo hazikai na chaji na umesema chipset yake ni powerful?
Inategemea na iphone zipo zinazokaa na chaji kama 13 pro max, 11 pro max etc.
 
Hizo Qualcomm snapdragon ndio engine ya simu au ndio ubongo wa simu kuiwezeaha simu kuchakata mambo haraka na nguvu ya kusukuma apps nzito kama games hiyo inahusika na mfumo mzima wa simu kama camera kutoa picha safi battery kutokuisha haraka nk ila yapo makampuni mengi yanayo tengeneza hizo chip na kuyauzia makampuni ya simu ila pia kuna makampuni mengine ya simu yanatengeneza za kwao wenyewe kama Samsung ana cheapest inaitwa Exynos Huawei anayo chipset yake inaitwa kirin google pixel nae pia anayo ya kwake inaitwa google tensor licha ya samsung kutengenezea Chip zake za Exynos lakini bado anatumia chip za makampuni mengine kama Qualcomm snapdragon na Mediatek Helio

Qualcomm snapdragon hii inakuwa nzuri ikiwa na namba kubwa kuanzia 800 mpaka 888 na kuendelea sasa hivi wametoa 8 Gen 1 iko kwenye galaxy s22

Mediatek Helio hii nayo inakua nzuri pia namba ikiwa kubwa kuanzia G80 mpaka G95 na kuendelea sasahivi wametoa inaitwa dimensty hii ni hatari na nusu

Licha ya yote hayo iPhone anayo ya kwake hashei na mtu yeyote inaitwa Bionic sasahivi anayo Bionic 15 ni shida ndio maana hakimbilii kujaza ram 16 kwenye simu kama Samsung iPhone yeye simu yake yenye RAM kubwa mwisho ni 6 lakini iko fasta ukizifanyia speed test simu yenye RAM 16 na iPhone yenye RAM 6 iPhone anaibuka mshindi
Unashindwa kuelewa speed ya ram na size ya ram, hata uwe na ram 128GB haitafanya simu iwe na speed,

Ila unaweza kuwa na ram 2GB na ikafanya simu iwe faster.

Flagship yoyote ile inakuwa na ram zenye speed kwa sasa ni lpddr5, hata ikiwa 6GB ram huwezi fananisha na ram za midrange ama low end ambazo ni 8GB.

Wingi wa ram unasadia kwenye multitasking na kufungua mambo mengi kwa mpigo, Android ina apps zinazotumia Ram nyingi, mfano Eggns Emulator ya Nintendo switch yenyewe inatumia hadi 9GB ram, hivyo unatakiwa uwe na simu angalia yenye 12GB ram kucheza. Vitu kama hivi huwezi kuvipata kwenye iphone.
 
Kama chipset inasaidia simu kutoisha chaji sana mbona iphone simu zake ni miongoni mwa ambazo hazikai na chaji na umesema chipset yake ni powerful?
Hv una taarifa iphone 13 pro max ndo flagship inayoongoza kukaa na chaji kuliko flagships zote na battery yake ni ndo kuliko hzo flagships nyengine?
 
Nikiichoka hii ndio ntaiiuza au mtu akija na Bei reasonable Redmi Note 10 Pro 8GB Ram, 128 Storage, 108megapixel
 
Nikiichoka hii ndio ntaiiuza au mtu akija na Bei reasonable Redmi Note 10 Pro 8GB Ram, 128 Storage, 108megapixel
Sh ngapi uliinunua na upo tayari kuiachia kwa sh ngapi
 
Back
Top Bottom