Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
Ofisi zipo kwa wananchi na ndio maana muda wote tupo kwenye Mikutano na wananchi nyie mmekaa kwenye viti vya kuzunguka mkitengeneza deal za Rada na EPA sasa naona mmeanza na upromotaNa ndiyo sababu tunasema Chadema sio suluhisho la matatizo ya Tanzania ni copy and paste mfumo wa CCM sasa ikiwa mnakopi kila jambo kutoka CCM hili ulaji mtaliacha? Chadema mnapata mil.250 kwa mwezi ofisi bado ipo vichochoroni mna miaka minagapi mnapewa ruzuku na hakuna mnalofanya zaidi ya ulaji na mwenyekiti, katibu na watu wa karibu?
Chama
Gongo la mboto DSM