Kwanini ujiunge na CHADEMA na kuachana na CCM...

Mimi ni Chama simjui wala simfahamu Nape na wala sina shida ya kumjua; ila wote tunasimamia na kutetea kitu kimoja ni wanaccm; tupo kujibu hoja,uwongo, unafiki, na majungu ya wanachadema ndani JF. Vipi Isevya hawajambo?

Chama
Gongo la mboto DSM
Asubuhi kwa muda wa Huku nimekuambia muda wenu umefika kuzurura USA mwisho ni 2015
 
Lukosi,
Tusichanganye mada nipe majibu ya swali langu, baadaye tutaingia kwenye uchumi; Angola iweke pembeni kidogo kwasababu MPLA bado kinaongoza nchi.

Chama
Gongo la mboto DSM
MPLA ndio mnatakiwa mjilinganishe nayo lakini nyie mmebakia kuhubiri udini
 
Kama wazambia wamekizika chama cha UNIP na kukisahau halafu wewe unakuja na talalila hapa kwamba wanajuta basi wewe una matatizo ya uelewa.
Hata mimi ninakwenda zambia mara kadhaa kila mwaka kwa shughuli zangu binafsi lakini sijawahi kusikia wazambia wakilalamika. Tena kipindi hiki walichomchagua King Cobra ndipo wamefurahi zaidi na hali yao ya uchumi sasahivi inakua vizuri sana baada ya King Cobra kuwadhibiti viwavi jeshi wote waliokuwemo serikalini.

Mkuu Mwita,
Zambia unakwenda kufanya biashara, mimi nina familia mwanangu anasoma University of Zambia Medical school mwaka 3 nina mashemeji marafiki na kila nikija Tanzania lazima nipite Lusaka kumjulia hali mtoto; nilichomuuliza Lukosi ukiachilia mbali Mwanawasa nia Raisi aliyekuja baada ya Kaunda ambaye hakukutwa na kashfa ya wizi mkubwa?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
blah blah blah... hiyo Zambia imebadilika kitu gani baada ya Kaunda kuondoka madarakani?
Kuna somo moja kubwa Wazambia wamejifunza, nacho ni kwamba wananchi wakikupa madaraka halafu ukaboronga, wanakutupilia mbali. La pili walichojifunza ni kuwa ukitumia madaraka uliyopewa vibaya, ukawageuza wananchi mtaji wako wa kujinufaika kifisadi, utawajibishwa hata baada ya kutoka madarakani. Hapa Tanzania hivi sasa tunao viongozi wa zamani wanaotamba mitaani badala ya kunyea debe keko kwa maovu waliyoyafanya wakiwa madarakani. Kutowajibishwa kwao ndiko kunazidi kuwapa ujasiri mafisadi kama Kikwete kuendelea kutenda wanayoyatenda bila woga...hali kama hiyo Zambia haipo tena.

blah blah blah...Mzee Kaunda anaendelea kuheshimika sana na wazambia kwani wameujuea ukweli na wengi wao wanajutia maamuzi ya yaliyowaingiza kina Chiluba madarakani.
Chama
Gongo la mboto
  • Umewahi kujiuliza Gadafi hivi leo angekuwa wapi kama angeheshimu matakwa ya wananchi wa Libya akaachia madaraka kwa amani badala ya kuyang'ang'ania?
  • Vipi kama Mubarak angetilia maanani ushauri wa kung'atuka mapema na kuwaachia wananchi wa Egypt kufanya mabadiliko waliyoyataka badala ya kung'ang'ania madaraka?
  • Kama Asad wa Syria pamoja na kuona yaliyowatokea wenzake angekubali toka mapema mabadiliko yafanyike, je huu umwagaji wa damu ungeendelea?
Kwa kifupi chama wewe ni limbukeni usiyejua hata unachokitetea ama kwa ujinga au upofu. Gadafi, Mubarak na hata Asad wangepata heshima kama anayopata Kaunda kama tu wangesoma alama za nyakati. Mugabe angeweza kupata heshima ya pekee nchini kwake Zimbabwe kama tu angeweza kuachia madaraka kwa wakati muafaka lakini masikini...

chama je unaamini Kikwete baada ya kuonesha mapungufu makubwa katika awamu yake ya kwanza, alistahili kugombea tena mwaka 2005? Hebu fikiria heshima ambayo angekuwa nayo hivi sasa kama tu angewaomba msamaha Watanzania kwa yote yaliyofanyika akiwa madarakani na kuamua kutogombea tena! Hivi sasa Watanzania hawangekuwa wanahangaika naye, wangekuwa wanahangaika na uongozi mpya kama na wenyewe ungeonesha dalili za kupwaya! Huo ndio ustaarabu kama alivyofanya Kaunda na si kung'ang'ania hadi kuiba kura na kuua watu mradi tu ubaki madarakani, je upo?
 
mwenyekiti safi sana,nilipost something few days ago,ambapo nilisema hakuna mtu yoyote ambaye afaidiki direct na ccm ataichagua ccm,yaani kura za ccm zitatoka kwa wajomba ,ndugu,jamaa wa mafisadi,SISI SOTE NI NDUGU TATIZO NI CCM, mimi chadema london,james
 
Mbona Dr. Slaa anazurura humsemi?

Chama
Gongo la mboto DSM
Chama,
CCM kilikuwa chama bora enzi za mwalimu Nyrere lakini sio sasa
Nyerere wakati huo alikuwa hana wasomi wengi wa kumshauri aliweza kujenga viwanda vingi nchi nzima,
wakaja wanawe wameharibu kila kitu mpaka sasa viwanda vingi vimekufa kwa sababu vimesahauliwa na kuacha vife
Leo hii unaagiza disc plough uingereza inauzwa £1,750 mpaka ikafike kwa mkulima itakuwa at least £3,500 sawa na milioni kama nane na nusu. wakati hili jembe lingeweza kutengenezwa pale ufi au kwenye shule za VETA tu.
CCM hawana maarifa,
CCM wamechoka
CCM wanachofanya sasa ni kila anayeingia madarakani anajiakatia ulaji wake kwanza anasahau kabisa maslahi ya taifa
Hata Rais akijitahidi vipi kwa kubadili mawaziri haitasaidia kitu kwa sababu mfumo mzima umeisha haribika ni sawa na kufunga starter motor mpya (i.e mwakyembe) kwenye engine iliyo knock(kufa) haitasaidia kitu kwa sababu huwezi kuezeka paa jipya la kigae kwenye nyumba ya miti iliyooza.
Usikazania suala la zambia nimekuambia ni mfano tu
Mie naongelea uchumi mzima kwa ujumla.
Unaweza kuniambia kuwa katika nchi nzima tumekosa maengineer wa kuweza kuviendesha viwanda vya zana za kilimo?, nguo? nk????
 
mag3,
wewe ndio limbukeni article ndefu pumba tupu jipange upya kama unataka majadiliano

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kuna somo moja kubwa Wazambia wamejifunza, nacho ni kwamba wananchi wakikupa madaraka halafu ukaboronga, wanakutupilia mbali. La pili walichojifunza ni kuwa ukitumia madaraka uliyopewa vibaya, ukawageuza wananchi mtaji wako wa kujinufaika kifisadi, utawajibishwa hata baada ya kutoka madarakani. Hapa Tanzania hivi sasa tunao viongozi wa zamani wanaotamba mitaani badala ya kunyea debe keko kwa maovu waliyoyafanya wakiwa madarakani. Kutowajibishwa kwao ndiko kunazidi kuwapa ujasiri mafisadi kama Kikwete kuendelea kutenda wanayoyatenda bila woga...hali kama hiyo Zambia haipo tena.

  • Umewahi kujiuliza Gadafi hivi leo angekuwa wapi kama angeheshimu matakwa ya wananchi wa Libya akaachia madaraka kwa amani badala ya kuyang'ang'ania?
  • Vipi kama Mubarak angetilia maanani ushauri wa kung'atuka mapema na kuwaachia wananchi wa Egypt kufanya mabadiliko waliyoyataka badala ya kung'ang'ania madaraka?
  • Kama Asad wa Syria pamoja na kuona yaliyowatokea wenzake angekubali toka mapema mabadiliko yafanyike, je huu umwagaji wa damu ungeendelea?
Kwa kifupi chama wewe ni limbukeni usiyejua hata unachokitetea ama kwa ujinga au upofu. Gadafi, Mubarak na hata Asad wangepata heshima kama anayopata Kaunda kama tu wangesoma alama za nyakati. Mugabe angeweza kupata heshima ya pekee nchini kwake Zimbabwe kama tu angeweza kuachia madaraka kwa wakati muafaka lakini masikini...

chama je unaamini Kikwete baada ya kuonesha mapungufu makubwa katika awamu yake ya kwanza, alistahili kugombea tena mwaka 2005? Hebu fikiria heshima ambayo angekuwa nayo hivi sasa kama tu angewaomba msamaha Watanzania kwa yote yaliyofanyika akiwa madarakani na kuamua kutogombea tena! Hivi sasa Watanzania hawangekuwa wanahangaika naye, wangekuwa wanahangaika na uongozi mpya kama na wenyewe ungeonesha dalili za kupwaya! Huo ndio ustaarabu kama alivyofanya Kaunda na si kung'ang'ania hadi kuiba kura na kuua watu mradi tu ubaki madarakani, je upo?
Nadhani kwa mifano hii kama kweli chama anajua kusoma na kuandika basi ataelewa
 
Mkuu Mwita,
Zambia unakwenda kufanya biashara, mimi nina familia mwanangu anasoma University of Zambia Medical school mwaka 3 nina mashemeji marafiki na kila nikija Tanzania lazima nipite Lusaka kumjulia hali mtoto; nilichomuuliza Lukosi ukiachilia mbali Mwanawasa nia Raisi aliyekuja baada ya Kaunda ambaye hakukutwa na kashfa ya wizi mkubwa?

Chama
Gongo la mboto DSM

Sasa kama mwanao umempeleka kusoma Zambia hiyo inadhihirisha kwamba maccm mmeamua kuahribu elimu yetu ili ninyi mafisadi mkasomeshe wanenu huko nchi za nje. Pili katika hilo nadhani wewe si mtanzania halisi kwahiyo kusurvive kwako Tanzania ni kwa njia ya kujipendekeza kwa CCM.

Mwisho, mtu huhitaji kuwa na shemeji ama shangazi ama mwanao zambia ili kujua hatua za kimaendeleo zilizopigwa na nchi ya zambia. Wanaweza wakawa nyuma katika baadhi ya maeneo lakini kidemokrasia wametuacha mbali.

Wao wanachagua chama kiwaletee maendeleo, kikishindwa kufanya hivyo uchaguzi ukifika wanakiweka pembeni na kuendelea na kingine.

Kama wangekuwa wanajuta kama unavyojaribu kupiga propaganda mfu hapa tungewaona wakikirudisha UNIP madarakani lakini kwanza ndio wanazidi kukichimbia kaburi.
 
Mimi ni Chama simjui wala simfahamu Nape na wala sina shida ya kumjua; ila wote tunasimamia na kutetea kitu kimoja ni wanaccm; tupo kujibu hoja,uwongo, unafiki, na majungu ya wanachadema ndani JF. Vipi Isevya hawajambo?

Chama
Gongo la mboto DSM

chama unaishi kwa kufanyakazi gani? Maana madaktari, walimu,wafanyakazi wa serikali ,wote CCM imewatolea nje ,na sasa hivi CCM imebakiwa na mafisadi na jamaa zao na wajinga wajinga, na maana wezi na wapumbufu tuu .
 
Mkuu Mwita,
Zambia unakwenda kufanya biashara, mimi nina familia mwanangu anasoma University of Zambia Medical school mwaka 3 nina mashemeji marafiki na kila nikija Tanzania lazima nipite Lusaka kumjulia hali mtoto; nilichomuuliza Lukosi ukiachilia mbali Mwanawasa nia Raisi aliyekuja baada ya Kaunda ambaye hakukutwa na kashfa ya wizi mkubwa?

Chama
Gongo la mboto DSM
On 23 September, Chief Justice Ernest Sakala announced Sata the winner of the election with 1,150,045 votes, or 43%, with 95.3% of votes counted. Banda received 961,796 votes, or 36.1%, and other minor parties trailed in the poll.[SUP][5][/SUP][SUP][11][/SUP] Sata was sworn into office later that day
Haya tafakari, unasema wazambia wanajuta. mbona mwaka jana waliwakana kabisaaaaaa!
hapo kwenye red unatakiwa uzingatie
Naomba uwe unatumia kichwa kufikiri mkuu
 
Sasa kama mwanao umempeleka kusoma zambia hiyo inadhihirisha kwamba maccm mmeamua kuahribu elimu yetu ili ninyi mafisadi mkasomeshe wanenu huko nchi za nje. Pili katika hilo nadhani wewe si mtanzania halisi kwahiyo kusurvive kwako Tanzania ni kwa njia ya kujipendekeza kwa ccm.

Mwisho, mtu huhitaji kuwa na shemeji ama shangazi ama mwanao zambia ili kujua hatua za kimaendeleo zilizopigwa na nchi ya zambia. Wanaweza wakawa nyuma katika baadhi ya maeneo lakini kidemokrasia wametuacha mbali. Wao wanachagua chama kiwaletee maendeleo, kikishindwa kufanya hivyo uchaguzi ukifika wanakiweka pembeni na kuendelea na kingine. Kama wangekuwa wanajuta kama unavyojaribu kupiga propaganda mfu hapa tungewaona wakikirudisha UNIP madarakani lakini kwanza ndio wanazidi kukichimbia kaburi.

Mkuu Mwita,
Vipi leo umeazima IQ ya molemo? Itabidi uniombe radhi ni matusi makubwa sanakudai najipendekeza CCM. Mimi namsomesha mwanangu kwa kipato halali ambacho hakina shaka yoyote ile; sitegemei fadhila za CCM na ndio sababu sina sababu ya kujipendekeza kwa mtu; mwanangu mama yake ni mzambia nilimpeleka Dar kuangalia Muhimbili hakupapenda kwasababu ya kiswanglish; mkuu msome sana Satta utajua ni kwa nini ameshinda Zambia.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
On 23 September, Chief Justice Ernest Sakala announced Sata the winner of the election with 1,150,045 votes, or 43%, with 95.3% of votes counted. Banda received 961,796 votes, or 36.1%, and other minor parties trailed in the poll.[SUP][5][/SUP][SUP][11][/SUP] Sata was sworn into office later that day
Haya tafakari, unasema wazambia wanajuta. mbona mwaka jana waliwakana kabisaaaaaa!
hapo kwenye red unatakiwa uzingatie
Naomba uwe unatumia kichwa kufikiri mkuu

Lukosi unachangaya mada Satta hakuwamo kwenye mada nilikuuliza kuhusu kina Chilluba Satta ndio ameingia madarakani hatuwezi kupima kazi kwa sasa na kwa taarifa yako Satta anafuata ni mshiriki mkubwa wa Kaunda na marehemu Mwanawasa kama huna majibu au unaogopa kujisuta sema tu mkuu. Usijibu kama unatumia miguu kufikiri.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
On 23 September, Chief Justice Ernest Sakala announced Sata the winner of the election with 1,150,045 votes, or 43%, with 95.3% of votes counted. Banda received 961,796 votes, or 36.1%, and other minor parties trailed in the poll.[SUP][5][/SUP][SUP][11][/SUP] Sata was sworn into office later that day
Haya tafakari, unasema wazambia wanajuta. mbona mwaka jana waliwakana kabisaaaaaa!
hapo kwenye red unatakiwa uzingatie
Naomba uwe unatumia kichwa kufikiri mkuu

Lukosi unachangaya mada Satta hakuwamo kwenye mada nilikuuliza kuhusu kina Chilluba Satta ndio ameingia madarakani hatuwezi kupima kazi kwa sasa na kwa taarifa yako Satta anafuata ni mshiriki mkubwa wa Kaunda na marehemu Mwanawasa kama huna majibu au unaogopa kujisuta sema tu mkuu. Usijibu kama unatumia miguu kufikiri.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
chama unaishi kwa kufanyakazi gani? Maana madaktari, walimu,wafanyakazi wa serikali ,wote CCM imewatolea nje ,na sasa hivi CCM imebakiwa na mafisadi na jamaa zao na wajinga wajinga, na maana wezi na wapumbufu tuu .

Mkulima ndio kazi yangu! Mbona hata Chadema mafisadi na wajinga wajinga wapo au huwaoni?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Nadhani tuweke pembeni uchama na tuwe WATANZANIA halafu tujiulize MIAKA 50 ya serekali ya CCM, je ilipaswa tuwe hapa au tuwe mbele zaidi kimaendeleo? Jibu lako ndio KURA YAKO.
 
Back
Top Bottom