Kwanini ujiunge na CHADEMA na kuachana na CCM...

Nadhani tuweke pembeni uchama na tuwe WATANZANIA halafu tujiulize MIAKA 50 ya serekali ya CCM, je ilipaswa tuwe hapa au tuwe mbele zaidi kimaendeleo? Jibu lako ndio KURA YAKO.
Wote tunajua kuwa miaka 50 ya uhuru hatukutakiwa kuwa hapa, CCM wameshindwa kutufikisha tunakotakiwa tuwe.
 
Ungendelage uludodi ulukafu luladenyeka Lukosi. Ila kusoma post za Chama yataka moyo.
Hahaha, ale mlugu, huyu Chama yeye anatetea vitu ambavyo yeye binafsi anajua sio vya kutetea, Chama kama sikosei mjomba wake ni kada wa CCM
 
Lukosi;
Usitoke nje mada, sina shangazi wala mjomba ambaye ni kada wa chama hapa tunajadili ukweli acha longolongo; jibu hoja ndugu Lukosi mimi sitegemei fadhila za chama mimi ni mtu huru; siishi kwa kutegemea fadhila za mtu yoyote, nitajie mmoja hapo Chadema anayefanana na Satta kwa matendo; ukweli unaujua ndugu Lukosi acha kudanganya watu; hamna jipya; Chadema ni kundi la walaji na ndio sababu hakuna jipya wanalosema viongozi wako zaidi kueleza mabaya ya CCM.

Tueleze ulipata wapi moyo wa kujiunga Chadema? Baada ya kusikia Chadema wanadili ya kuagiza magari au baada ya kukutana Lema?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mzee wa Kazi, kicha cha habari na habari haviendani. Hujatoa sababu kwanini CHADEMA ndio solution ya matatizo?
Anza kueleza jinsi CHADEMA itakavyoyatatua matatizo tuliyo nayo halafu tujadili.
 
Lukosi nilikuuliza baada ya Kaunda kuondoka madarakani ukiachia marehemu Mwanawasa ni nani ambaye hakukutwa na kashfa ya wizi na ubadhirifu? Kumbuka waliingia madarakani kwa mbinu hizi za movement kwa madai watabadilisha maisha ya mzambia; wazambia wengi hawana furaha ya maisha ni dhiki imewatawala hivi umewahi kufika Zambia au unaisoma kwenye magazeti?

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu mimi mwanamichezo, umoja waliounesha kuutafuta ubingwa wa kabumbu barani afrika hakika ilitia raha sana tofauti na serikali yetu ambayo kila siku sisi ni kichwa cha kila kichaa kujifunzia kunyoa hata hili mkuu huoni kama walau wenzentu wanaweza kujivunia!
 
Adolay;
mwanamichezo unacheza cricket? umoja watanzania tunao mkubwa ni ndani ya jamii forum ndio kwenye udini na ukabila; kwa mantiki hiyo siwezi kutumia kigezo cha JF kama ndio indicator ya umoja au utengano wa watanzania.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mzee wa Kazi, kicha cha habari na habari haviendani. Hujatoa sababu kwanini CHADEMA ndio solution ya matatizo?
Anza kueleza jinsi CHADEMA itakavyoyatatua matatizo tuliyo nayo halafu tujadili.

Chadema Chini ya madereva wetu Dr Slaa na Mheshimiwa Mbowe tutaweza kupanda mlima huu mkali bila wasi wasi kwa kutumia rasilimali tulizonazo ambazo kila mtu anajua kuwa sisi ni matajiri wa rasilimali tatizo ni CCM, hawana maarifa wala plan ya jinsi ya kuzitumia rasilimali hizi walizozikalia kwa miaka 50 sasa.. Chama chetu kitawapa nafasi wasomi na watu wote wenye vipaji, walete maarifa yao kwenye sekta ya viwanda , madini na mariasili kitu ambacho
CCM imeshindwa kuwatumia. Badala yake utwasikia tu mara kilimo kwanza mara kilimo ni uti wa mgongo au kilimo cha kufa na kupona . Hatuwezi kuendelea kwa kutegemea kilimo peke yake. Kama ni maboga kila mtu analima.

Mimi binafsi ninaamini utajiri wa nchi hutokana na viwanda pamoja na maliasili kama gesi, mafuta, madini mbalimbali nk.
Nchi haiwezi kuwa tajiri kwa kutegemea kilimo, kilimo huchangia asilimia ndogo sana ya uchumi wa nchi.

SIRI YA MAFANIKIO YA TAIFA BORA NI MAARIFA
MAARIFA HUTOKA KWA WASOMI PAMOJA NA WATU MBALI MBALI WENYE UJUZI
SERIKALI YETU IMESHINDWA KUWATUMIA WASOMI WETU BADALA YAKE IMEWATELEKEZA NA KUWAACHA WAKIBEBA BOKSI ULAYA NA MAREKANI.

Wachina walikuwa masikini sana miaka ya nyuma, na viwanda vingi vya wamarekani na nchi nyingine tajiri vilijengwa china kwa sababu ya cheap labour.
Wachina waliamua kutumia wasomi wao na watu wenye ujuzi kujifunza maarifa wanayotumia wamarekani na mataifa tajiri. Badaad ya hawa watu kuyapata maarifa waliamua kuanza kujenga viwanda vyao wenyewe nma kutengeneza malighafi kama zile za wamarekani kwa bei nafuu, hii iliwasaidia kumaliza masoko yote nchi za africa na asia.
Uchumi wa china umekua kwa maarifa, sasa kwa nini na sisi uchumi wetu usikue kwa MAARIFA?
 
Adolay;
mwanamichezo unacheza cricket? umoja watanzania tunao mkubwa ni ndani ya jamii forum ndio kwenye udini na ukabila; kwa mantiki hiyo siwezi kutumia kigezo cha JF kama ndio indicator ya umoja au utengano wa watanzania.

Chama
Gongo la mboto DSM

Mimi mkuu nimeongelea kabumbu yaani soccer sio cricket any way hata hiyo criket tumechukuwa? mimi naongelea suala zima la uzambia wao ulivokolezwa kwa maana ya ushindi ule na kuwafanya wajione wazambia kwa umoja wao.

Inawezekana pia kama serikali yetu kuanzia enzi za huko nyuma ingewekeza katika michezo si ajabu ingetuunganisha kama jinsi nilivomuona kaunda akifurahia ushindi ule na viongozi wa chama tawala ambacho si kile alichopigania uhuru akiwa kiogozi.

Tumekwama kote, uchumi, elimu, miundombinu, mahusiano nk. matokeo yake tunapiga kelele hapa jf kwasababu viashiria vya kutuunganisha kama michezo nk serikali haivipi kapaumbele. ndo maana nikasema hata hili la ubigwa wa kabumbu baran afrika hulioni mkuu kwamba zambia wametuacha kupitia kubadilishana madaraka kwa amani na upendo?
 
Unafurahisha sana; sasa ulitaka mh. Jakaya awe kiungo kwenye timu ya taifa ndio washinde? Kocha mmletewa kutoka Brazil kwa gharama nyingi tu, hivi sasa mna kocha mpya kigeni; mmjengewa world Class Stadium kwa gharama kubwa tu; karibu klabu zote kubwa zina makocha wa kigeni sasa ikiwa kucheza hamuewezi raisi au CCM ifanye hili nalo pia mnataka kumlaumu raisi? Unachezea timu gani?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Chris Lukosi,
Nadhani umejiunga Chdema juzi huijui Chadema, umeandika maelezo marefu lakini umesahau kama Chadema ni chama cha kikanda na kikoo.

Hunajua kama Tundu Lissu, na Dada yake wote ni wabunge wa Chadema, hunajua kama Mbowe ni mkwe wa Mtei, hunajua kama Ndesamburo na binti yake pamoja na mkwe wake wote ni wabunge, hunajua Rose Kamili, mbunge ni mke wa Dr Slaa, hunajua mbunge wa Karatu ni dada yake Dr Slaa wa ubatizo.

Hunajua kama M4C ni mradi wa viongozi wa Chadema kutoka Kaskazini. Lema, Mbowe, Dr. Slaa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama,
Mtu yeyote mwenye mawazo na fikra kuwa Chadema watawasaidia Watanzania basi ni sawa sawa kuziba shimo la panya kwa mkate.
 
Ni kweli Nakubaliana na wewe mkuu January Makamba ni mtoto wa yusuph makamba , Hussein Mwinyi ni mtoto wa Ali Hassan Mwinyi kwenye bunge la Africa mashariki kuna mtoto wa Mwinyi , Bilali Pia Nape ni mtoto as marehemu Nauye, karume aliye kuwa Rais ni mtoto wa Abeid karume sasa hichi Chama cha mabwepande si cha kisultani kabisa?
 
Ritz
ahaa haaa hii kali; Lukosi anachungulia maslahi yake hana lolote; wote tunajua azma yake ya kwenda Chadema imesukumwa na vitu gani; ulaji tu aliposikia dili ununuzi wa magari kaona ajiweke kwa mkao wa tenda ya usafirishaji; na hasa baada ya jamaa kumpiga chini na dili ya ukaguzi wa magari akajiona hana bao tena; yupo Chadema kwa maslahi yake binafsi, ila kwa sababu mapimbi wa Chadema JF ni wengi sana wanamuona kama yupo M4C wakati yeye na kina wapo kwenye M4U -Movement for ulaji!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Lukosi nilikuuliza baada ya Kaunda kuondoka madarakani ukiachia marehemu Mwanawasa ni nani ambaye hakukutwa na kashfa ya wizi na ubadhirifu? Kumbuka waliingia madarakani kwa mbinu hizi za movement kwa madai watabadilisha maisha ya mzambia; wazambia wengi hawana furaha ya maisha ni dhiki imewatawala hivi umewahi kufika Zambia au unaisoma kwenye magazeti?

Chama
Gongo la mboto DSM

chama, matokeo aliyotoa Chris Lukosi ni ya uchaguzi ulipita, Satta ndiye rais wa Zambia kwa sasa. Now, do you know amepambana na rushwa kiasi gani? Kaanzia kwa Banda (rais aliyepita) na marafiki/ndugu zake. Watu wanachimbia hela ardhini huko Zambia (RIP Sokoine) maana wanajua king cobra hatanii.

Ukisoma vizuri hoja ya Chris utapata ujumbe, kwamba kama mambo hayaendi sawa then you must change something. Kwa kubadili mwelekeo, wazambia wametoa ujumbe loud & clear - kama mambo hayaendi watabidili engine.

Labda nikuulize, kwa hali ilivyo sasa Tanzania kuna kitu cha kubadilisha?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama,
Mtu yeyote mwenye mawazo na fikra kuwa Chadema watawasaidia Watanzania basi ni sawa sawa kuziba shimo la panya kwa mkate.
Kama Pamoja na rasilimali tulizo nazo Kama kimeshindwa kutuletea maendeleo kwa miaka 50 kilichokuwa madarakani hata ukikipa miaka 2000 hawataweza zaidi ya kufanya upromota kwa diamond
 
Chris Lukosi,
Nadhani umejiunga Chdema juzi huijui Chadema, umeandika maelezo marefu lakini umesahau kama Chadema ni chama cha kikanda na kikoo.

Hunajua kama Tundu Lissu, na Dada yake wote ni wabunge wa Chadema, hunajua kama Mbowe ni mkwe wa Mtei, hunajua kama Ndesamburo na binti yake pamoja na mkwe wake wote ni wabunge, hunajua Rose Kamili, mbunge ni mke wa Dr Slaa, hunajua mbunge wa Karatu ni dada yake Dr Slaa wa ubatizo.

Hunajua kama M4C ni mradi wa viongozi wa Chadema kutoka Kaskazini. Lema, Mbowe, Dr. Slaa.

Mkuu Ritz,'
Huwa nakushangaa unapoanza kucheza hii ngoma ya ukanda na ukoo kwa upande wa Chadema. Lakini waswahili wana msemo kuwa nyani haoni kundule. Nadhani hapo umenipata.
 
Ni kweli Nakubaliana na wewe mkuu January Makamba ni mtoto wa yusuph makamba , Hussein Mwinyi ni mtoto wa Ali Hassan Mwinyi kwenye bunge la Africa mashariki kuna mtoto wa Mwinyi , Bilali Pia Nape ni mtoto as marehemu Nauye, karume aliye kuwa Rais ni mtoto wa Abeid karume sasa hichi Chama cha mabwepande si cha kisultani kabisa?

Na ndiyo sababu tunasema Chadema sio suluhisho la matatizo ya Tanzania ni copy and paste mfumo wa CCM sasa ikiwa mnakopi kila jambo kutoka CCM hili ulaji mtaliacha? Chadema mnapata mil.250 kwa mwezi ofisi bado ipo vichochoroni mna miaka minagapi mnapewa ruzuku na hakuna mnalofanya zaidi ya ulaji na mwenyekiti, katibu na watu wa karibu?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Adolay;
Unafurahisha sana; sasa ulitaka mh. Jakaya awe kiungo kwenye timu ya taifa ndio washinde? Kocha mmletewa kutoka Brazil kwa gharama nyingi tu, hivi sasa mna kocha mpya kigeni; mmjengewa world Class Stadium kwa gharama kubwa tu; karibu klabu zote kubwa zina makocha wa kigeni sasa ikiwa kucheza hamuewezi raisi au CCM ifanye hili nalo pia mnataka kumlaumu raisi? Unachezea timu gani?

Chama
Gongo la mboto DSM

mimi nachekesha wewe hujaelewa, nahapa ndipo huwa nafikilia usingizi badala ya jf. unafahamu kwa nini nilikuji hivi?

Kama ww huchekeshi elezea kwa nin nilikupa jibu hili?

Mim sikurukupi unatoa maelezo mengi unasahau hata kwanini nilikupa jibu hilo vuta kumbukumbu au rudia kusoma jibu la kwanza kabisa kisha tuendelee. vinginevyo ni marumbano ya magumashi..........
 
Kama Pamoja na rasilimali tulizo nazo Kama kimeshindwa kutuletea maendeleo kwa miaka 50 kilichokuwa madarakani hata ukikipa miaka 2000 hawataweza zaidi ya kufanya upromota kwa diamond

Maendeleo yapo mengi tu Tanzania; kama yasingekuwapo hata hiyo M4C isingekuwapo kwasababu ingebidi mfyeke misitu ili muwafikie wananchi wa vijijini; lakini kutokana na sera ya CCM na serikali yake mnaweza kuwafikia wananchi; ni mtu chizina pimbi ndiye atakayesema Tanzania hatuna maendeleo.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom