Snowden E
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 1,352
- 2,235
True, ila hiyo ya reception ni hulka za watu.Tena nyie waislamu kwenye ndoa haswa waislamu wa siku hizi ndo mnaanza ku complicate unakuta mtu ndoa(nikkah) washafunga halafu siku ingine ndo inafanyika reception labda useme kwenye kuzika tu nyie ni simple lakini hakuna utu unakuta mtu anakimbizwa wee utafikiri watu wamemchoka daah...
Haipo ktk mafundisho.
Na wengine huwa hawa fanyi hayo.
Kwenye kuzika.
Si unajua mambo ya imani brother.
Iko hivi, binadamu hana uwezo wa kumhukumu mwenzie, ivyo basi akifa mmoja wetu hatujui huko aendako atafikua mahala pazuri au pabaya.
Ila siku zote tunaambiwa kutakiana mema, hivyo basi huwa tuna aminiuob
iweke hapa hiyo sheria.Kwa utaratibu wa sheria ya kiislam kuoa ni rahis kuliko kuacha.
Then nita amini usemalo