Tatizo wanahisi Qur an inafasiriwa fasiriwa tu kama kule kwao! Zama wakati hata zama tulizopo mie sjaona sheikh akija na tafsir yake katika kufasiri Bali wanatumia na kurejea fasir za mfasiruna waliokwisha fasir zama zilizotangulia..hawajui kwamba no dhima na amana kubwa kufasiri!
Na hata wangekisoma icho kiarabu bado hawatoweza kufasiri kamwe!
Kufasiri ni ilimu haswa! Imejitegemea na lazima Allah akufungulie zaidi kukielewa kitabu chake, ndio utaskia alifu iliyokuja hapa maana yake ni hivi, lam ya hapa sjui ni kutia nini, in short Qur an it self ni miujiza, ndio maana we Muslims hatupo sana miracle oriented maana almost everything in Islam ni muujiza,
Namna Hukmu za Qur an tu zilivyo ni muujiza, ni kiarabu ila ukisomeshwa kiarabu pekee bila kusomeshwa Qur an still huwezi kuisoma na kuielewa Qur an, huo tena ni muujiza
Dini yetu ina ahkami nyingi sana, ahkami za swala, za funga, sjui za hijja, za ndoa wao hawana ahkami, fatwa wala fiqih huo tayari ni muujiza
In short uislaam huwezi kuujua unless umekuwa muislam otherwise utakuwa unajidanganya
Huna elimu hata za kujihudumia kwa choo afu wataka ufasiri Qur an, vijana bwana!
Sent from my TECNO KB7j using
JamiiForums mobile app