Unless uamue kukaza shingo kutoelewa,siujui umri wako lakini 2005 kurudi nyuma ishu ya ushoga ilikuwa kitu sensitive sana.tulikuwa tunaambiwa tu fulani ni shoga ilikuwa siyo rahisi kumuona shoga kwa macho na alikuwa akionekana anaweza akapigwa mawe au kuzomewa lakini leo unaona nini?vijana mitaani hadharani wanatembea makalio wameyabinua huku wamejipodoa wengine wanadiriki kusema wanataka watambulike na taifa.
Yaani kijana aliyezaliwa na uume anataka sisi wote,jeshi mahakama bunge tujue kwamba anamwagiwa shahawa makalioni wewe unadhani haya kwa wazee wetu yalikuwepo?kuwepo yalikuwepo lakini yalifanyika kwa siri kubwa (well dhambi zote zinafanywa sirini)
Hapo umekubali kuwa yalikuwepo, hivyo mjadala unaishia hapo na hoja yako ya dunia ya kale kuwa bora kwasababu ya issue nzima ya ushoga inakosa nguvu.
Hapo kilichobadilika tu ni utandawazi.
Saizi tunawaona sana hata kupitia social media.
Isingalikuwa social media huenda usingelitambua uwingi wa matendo haya ya ushoga.
Ukitaka kujua jambo hili linazungumzwa sana mitandaoni, na mitandao ndio inapush kwa sana tujue habari za mashoga, fanya kujiuliza bila ushabiki kuwa jamii yako ulipo unashuhudia ushoga kwa rate kiasi gani?
Mikataba mibovu ilivyotuumiza sana ilikuwepo but haijawahi kufikia hata kwa theluthi moja ya mkataba na kwa akili za kawaida hakuna aliyetegemea kama angetokea kiongozi mwengine aingie mikataba ya kishenzi kama hii.
Hatukutegemea sawa, lakini unauhakika gani kuwa hatokuja kutokea pia mwanaume mwingine akatuingiza cha kike kama huyu?
Na kwanini wanaume wengi ambao ni wasaidizi wa huyu mwanamke nal wamemshauri na bado wanaupambania mkataba huu tuuonao kuwa wahovyo!?
Hoja yangu ni nini,
Hoja yangu ni kuwa hata mwanaume nae anamakosa pia.
Kuwa mwanamke hakumaanishi kuwa ndio uwe unavuruga tu kila siku.
Naamini tunaweza kuwa na wanawake wakaongoza vizuri tu.
Ila naomba nitambuliwe kuwa Sikatai kuwa mwanamke ni dhaifu kuliko mwanaume
Ni wazi nikikupa homework uniletee hapa mkataba uliosainiwa chini ya rais mwanaume unaokosa kifungu cha kuvunjika mmoja akienda wrong huwezi kuniletea.
Sawa tuassume ninaweza kukosa kwa hapa Tanzania.
Je unadhani hata nje ya Tanzania hakuna mkataba kama huu uliowahi kusainiwa na Rais mwanaume!?