Acha ujinga yaan mnataka kuwaaminisha watu dini ndio kila kitu?
Dini tangu zije afrika hazina hata miaka 2000 lkn maajabu ni kuwa Afrika ime Exist for more than 1000, 000 years or even billions of years with no Stupidity thing so called religious,
Je huyo Mungu wenu alikuwa wapi miaka yote hiyo aje kuletwa na wazungu+waarabu miaka ya hivi karibun tena kwa utumwa na mauwaji alafu wajinga wachache kama ninyi mjaribu kushawishi kwamba dini ina maana ktk jamii?
Kuoa wake wengi kuna shida gani kama mtu anaweza kuwahandle wote? Lipi bora kuoa wake3 ama ushoga mnaouhalalisha ktk makao ya dini zenu ama kwa hao viongoz wenu wa dini wanaolawiti watoto wadogo huko madrasa na Sunday-school?
Mnataka kutuamnisha kuwa mila na desturi ni mbaya kumbe hayo maujinga yenu mliyocopy kwa watu weupe ndio yanaongoza kwa maovu,
Ugaidi upo ktk dini zenu, upolaji wa mali za watu kwa kuita sadaka upo ktk dini zenu, ubakaji, uchawi, ushirikina, uongo, ulawiti na ushoga upo ktk dini zenu mbona sisi tusio na dini hatuwasimangi kama ninyi mnavyotuingilia mambo yetu?
Jaribuni kuelimika jamani Elimu ni muhimu zaidi ya hizo ngonjera za dini zenu za uongo.