Kwanini uishi maisha ya mnyama

Kwanini uishi maisha ya mnyama

Naaaam nikweli "" usemayo ni sahihi ""...
Pamoja mkuu! kuna post iko hapa JF .. JE! WAJUA? Kaisome ili tusaidiane kupambana na changamoto za hapa nchini.
 
IPO jukwaa lipi ...kama waweza nitumie link yake hapa "" niipitie ""..
 
ilikuwa jukwaa la habari mchanganyiko ... ebu nifuatilie mkuu.
alaaankumbe uliipost wewe "" sidhani kama sikupita nakuichangia hiyo "" ngoja nikufuatilie " nitauona huo Uzi
 
sijui umefuanywaje huo uzi .. soma kwa hapa ...

Kuna mzee mstaafu mmoja alinitembelea ... wakati tunaongea na kujadili matatizo yaliyoko kwenye jamii yetu (watanzania) alinambia jambo moja kubwa sana. Alisema hivi ...

Kijana ikitokea ukalijua tatizo la mtu wakati yeye hajui kuwa hilo ni tatizo kwake ... tatizo hilo linakuwa ni la kwako wewe uliyeliona.

Sasa zipo tafiti nyingi zimefanyika na haya yaligunduliwa ndani ya jamii yetu ya Tanzania. Binafsi sina uwezo wa kuyafanyia kazi ila ninachokiona ni kuwaashirikisha wengine (akiwemo na wewe) ili ukiguswa tushirikiane kuyafanyia kazi kwa pamoja. Vinginevyo tutaangamia kwa kutokujua matatizo tuliyo nayo.

Nitaandika machache kwa leo, ila nategemea kila nitakapopata muda nitaongeza ili wasomaji waweze kujua changamoto zilizopo kwenye jamii.

1. LUGHA
Lugha ni nyenzo muhimu katika kuunganisha watu. Sehemu nyingi hapa nchini lugha inayotumika kwa shughuli mbali mbali ni kiswahili. Cha kushangaza lugha inayotumika kwa watu kupata maarifa ni Kiingereza. Sasa tuangalie uelewa wa watu wetu kwa lugha zote mbili

Hii ni kwa watanzania watu wazima.
Kwa lugha ya kiswahili: Lugha ya Kiingereza
Wanaoweza kusoma na kuandika - 72% ........................ 27%
Wanaoweza kusoma tu - 3% 7%
Wasioweza kusoma wala kuandika - 25% 66%

Hilo ni tatizo tunalo inabidi tulifanyie kazi.

HESABU:
Watanzania wengi wanaweza kufanya hesabu za kujumlisha na kutoa; ni wachache sana wanaoweza kuzidisha na kugawa.

KIWANGO CHA ELIMU KWA UJUMLA
Katika watu 10, watu 8 tu wana elimu ya msingi (hii inamaanisha asilimia 80 ya watanzania kiwango chao cha elimu ni elimu ya msingi.)

KATIKA SHUGHULI ZA KILA SIKU
41% wanategemea kilimo
20% kazi zisizo rasimi / vibarua
18% tegemezi
7% wafanya biashara
2% watoa huduma za kilimo
5% watoa huduma mbalimbali
4% Sekta rasimi (wanaotegemea mishahara)
2% Sekta isiyo rasimi
1% hawa wako kwenye ustawi wa jamii
Sehemu yenye kubeba watu wengi ndiyo ina matatizo lukuki - kilimo; tulifanyie kazi.

UPANDE WA MAWASILIANO
Ni asilimia 63 ya watanzania ndiyo wanamiliki simu, lakini ni 26% ndiyo wana uwezo wa kutumia internet. Hata hapa kuna tatizo; simu hazitumiki kama inavyotakiwa. Watu wananunua bandles zinafia kwenye simu zao.

Nia yangu ni kuonesha changamoto zilizopo kwenye jamii ili tuzifanyie kazi. Kwa leo naishia hapa ila kikubwa ninachokiona ni kwamba inabidi tujikite zaidi kwenye suala la kuelimishana.
Ahsante! Karibu tujadili kwa pamoja.
 
Binadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu.
Binadamu amepewa akili ili zitumie kuwatiisha viumbe wengine ..
Binadamu ni kiumbe teule ambacho kina uwezo mkubwa wa kuibadili dunia kuwa sehemu nzuri ya kuishi.
Kama ni hivyo; inakuwaje binadamu (hasa Waafrika) wanaishi maisha sawa na wanyama. Kitendo cha mtoto mwenye umri wa kwenda shule kuanza maisha ya kushinda polini na mifugo ni dhahili kuwa mtoto huyo anakuwa ameanza kuishi maisha sawa na mnyama.

Teknolojia wanayotumia wenzetu katika nchi zinazoendelea - sisi tunashindwa nini? Unamkuta mtu (mtanzania) ana mifugo kibao lakini maisha anayoishi anazidiwa na mganda au mkenya mwenye ng'ombe wanne.

NI KWA NINI UISHI MAISHA YA MNYAMA?
Kwasababu waafrika tumezoea kuishi kwa mazoea, na nivigumu sana akili zetu kuaccept changes zitakazobadilisha systems za maisha tuliyoyazoea... si vijijini tu hata mijini, ndio maana tunashuhudia watu kupinga miradi mbalimbali ya maendeleo..
Ikifika piont waafrika tukawa na "dare for change" mentality tutafika mbali sana...
 
sijui umefuanywaje huo uzi .. soma kwa hapa ...

Kuna mzee mstaafu mmoja alinitembelea ... wakati tunaongea na kujadili matatizo yaliyoko kwenye jamii yetu (watanzania) alinambia jambo moja kubwa sana. Alisema hivi ...

Kijana ikitokea ukalijua tatizo la mtu wakati yeye hajui kuwa hilo ni tatizo kwake ... tatizo hilo linakuwa ni la kwako wewe uliyeliona.

Sasa zipo tafiti nyingi zimefanyika na haya yaligunduliwa ndani ya jamii yetu ya Tanzania. Binafsi sina uwezo wa kuyafanyia kazi ila ninachokiona ni kuwaashirikisha wengine (akiwemo na wewe) ili ukiguswa tushirikiane kuyafanyia kazi kwa pamoja. Vinginevyo tutaangamia kwa kutokujua matatizo tuliyo nayo.

Nitaandika machache kwa leo, ila nategemea kila nitakapopata muda nitaongeza ili wasomaji waweze kujua changamoto zilizopo kwenye jamii.

1. LUGHA
Lugha ni nyenzo muhimu katika kuunganisha watu. Sehemu nyingi hapa nchini lugha inayotumika kwa shughuli mbali mbali ni kiswahili. Cha kushangaza lugha inayotumika kwa watu kupata maarifa ni Kiingereza. Sasa tuangalie uelewa wa watu wetu kwa lugha zote mbili

Hii ni kwa watanzania watu wazima.
Kwa lugha ya kiswahili: Lugha ya Kiingereza
Wanaoweza kusoma na kuandika - 72% ........................ 27%
Wanaoweza kusoma tu - 3% 7%
Wasioweza kusoma wala kuandika - 25% 66%

Hilo ni tatizo tunalo inabidi tulifanyie kazi.

HESABU:
Watanzania wengi wanaweza kufanya hesabu za kujumlisha na kutoa; ni wachache sana wanaoweza kuzidisha na kugawa.

KIWANGO CHA ELIMU KWA UJUMLA
Katika watu 10, watu 8 tu wana elimu ya msingi (hii inamaanisha asilimia 80 ya watanzania kiwango chao cha elimu ni elimu ya msingi.)

KATIKA SHUGHULI ZA KILA SIKU
41% wanategemea kilimo
20% kazi zisizo rasimi / vibarua
18% tegemezi
7% wafanya biashara
2% watoa huduma za kilimo
5% watoa huduma mbalimbali
4% Sekta rasimi (wanaotegemea mishahara)
2% Sekta isiyo rasimi
1% hawa wako kwenye ustawi wa jamii
Sehemu yenye kubeba watu wengi ndiyo ina matatizo lukuki - kilimo; tulifanyie kazi.

UPANDE WA MAWASILIANO
Ni asilimia 63 ya watanzania ndiyo wanamiliki simu, lakini ni 26% ndiyo wana uwezo wa kutumia internet. Hata hapa kuna tatizo; simu hazitumiki kama inavyotakiwa. Watu wananunua bandles zinafia kwenye simu zao.

Nia yangu ni kuonesha changamoto zilizopo kwenye jamii ili tuzifanyie kazi. Kwa leo naishia hapa ila kikubwa ninachokiona ni kwamba inabidi tujikite zaidi kwenye suala la kuelimishana.
Ahsante! Karibu tujadili kwa pamoja.
nimeshapita mkuu" nimeuona ....nimeelewa vyema kabisa""... nikaona na ule Uzi unaohusu faida ya zao la bamia ..nimeupenda mnooo"" kuanzia leo nitadumisha mahaba na bamia ... then nilikuwa naomba unitajie list ya mboga mboga ambazo zinaimarisha kinga ya mwili cd4 kwa haraka ""...""itakuwa vyema sana
 
Hapo cheza na mlongelonge mkuu - ni kiboko ya matatizo ya afya!
 
Back
Top Bottom