Kwanini udism wanaandamana? Je hizi sii rasharasha tu bado mvua?

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,221
Nimekaa nakutafakari sana juu ya mustakabadhi wa taifa hili namimi nimeona J. Kikwete atalitumbukiza taifa hili ktk migogoro na maandamano yasio kuwa namsingi. Maandamano mengi ktk vyuo apo awali ukifuwatilia takwimu yamekuwa ktk kuisuta Bodi ya mikopo lakini hili lasasa hivi la wanafunzi kutaka kuongezwa posho nikitanzi kwa serikali na tena ikiwa serikali haito towa tamko uwenda na vyuo vingine vitafuwata na haito ishia hapo ila pia na wafanyakazi wataandamana kutaka mishahara kupanda. Lakini nilazima tujuwe haya yanakuja tu baada ya serikali kutangaza kutaka kuilipa dowans mabilion ya fedha. Tuchukue tu mfano wa mzazi anayefanya budget kali kwa familia yake watoto hawapewi hela ya matumiz shule, nyama mara moja kwa mwezi, mama kitenge kwa mwaka mara moja,shule sokon wanaenda kwa basi na n.k, lakini itokee sikumoja watoto wagundue yakuwa baba anakimada nje na anakiudumia kwa mamilion ya fedha na dhani unaweza kuona nikitu gani kitatokea. Sasa turudi hvyohvyo ktk swala hili la vijana wa UDISM kutaka nyongeza za fedha zakujikimu ni fukuto tu la vijana kujuwa serikali yao ina matumizi mabaya na inaliwa na wachache kupitia iPTl,dOWANs,meremeta,epa,vocha ghalan na nk. Hivyo vijana hawa ambao wengine wameshajuwa what is contract? Wanakuja gunduwa serikali ni shamba la bibi wakati walipa kodi hawapati matunda au unafuu wakulipa kodi, pia serikali inawafungisha mkanda wananchi wakati ikitekeleza malipo kwa waujumu uchumi, at the same time viongoz wakilipana vizuri. Mimi nasema the end of ths government is soo near just kwa mizigo imejibebesha ikitaka kulipa fadhila kwa wachache nakuacha watu takribani 40mil wakihaha na mishahara midogo,kipato kidogo toka ktk kilimo, biashara zisizo na faida, kushuka thaman ya Tsh, mifumuko ya bei isiyo na msing yani ni ujinga ujinga kiasi unamuuliza Mungu hv hawa watu wamesoma? Serikali ijiandae maandamano yatakuja makubwa maana vijana wa vyuo wakiandamana kutaka malipo ya Tsh10,000/= mfanyakaz wakawaida hatokubali akatwe kodi na at the same tm mwanafunz amzid kwa kipato, kutokea hapo ndio vyama vya wafanyakaz wataleta hoja yakutaka either watu wote sasa wasome wasifanye kaz ikiwa mwanafunz wa chuo analipwa zaidi ya kima cha chini. Jaman naona bendera ya serikal kushushwa nusu mlingoti ama bendera ya taifa kubaki juu na ya ccm kushushwa milele kwa milele. Ee Mungu sikia kilio cha watanzani. Amina
 
Mkuu inawezekana kuwa ni hoja nzuri lakini ujaipanga vizuri, unaweza kuedit na kuiweka paragraphy ili tuichangie vizuri?
 
Natumia sim ku post that msg that is y, so if upo kwa computer edit it. Thx
 
Natumia sim ku post that msg that is y, so if upo kwa computer edit it. Thx

Mkuu ingia hata internet cafe one time uiedit.
Hii mada ni nzuri lakini mtiririko wake haujakaa sawa.
na haiwezekani kwa mtu mwingine kuidit mada ya mwingine labda ni Invisible tuu ndio mwenye ubavu huo.
 
Back
Top Bottom