Kwanini tuwahudumie wanawake?

Kwanini tuwahudumie wanawake?

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,727
Reaction score
37,030
Wasalaam wana JF

Mwanadamu amepewa akili ili imsaidie kuhoji na kuboresha maisha yake. Ikiwa kama utaruhusu akili yako ifanye kazi, bila kutingwa na influeence nyingine, kama mapokeo, mazoea na sheria basi ni vyema tuhoji kwanini tuwahudumie wanawake?

Kwa kuanza tafakarii hii lazima tujue sisi, binadanu ni wanyama, je wanyama wenzetu wanafanyaje (hapa tuna benchmark). Simba ambao wako on top of the food chain wanaweza wakawa ni mfano mzuri. Kimsingi, hawafanyi hivyo.

Sasa sisi binabamu huu upuuzi, tumeutoa wapi?

Pengine tumeshindwa ku-control ashki zetu.

labda ni issue ya demand and supply.

labda ni issue ya competition.

Labda ni issue ya kuwa possessive.

Kimsingi, jambo hili haliingi aklini, inakuaje mtu mzima akae tu, asifanye kazi alafu mtu mwingine afanye kazi na amuhudumie. Akili ya kawaida inakataa. Kuna vitu vingi sana katika struggles za mwanadamu vimewekwa kipuuzi kuchochea uzembe na uvivu. Tafakari, chukua hatua.
 
Hii ni mada ya Pili unazungumzia wanawake. Bila sisi Dunia ingekuwa pweke na JF ingepoa. Kiufupi, Hawa aliumbwa na Mungu amsaidie Adam. Kuna vitu ukipingana navyo unapingana na asili ya uumbaji wa mwanamke. Man Will be a man. Woman Will be a woman.
 
Achana na mapokeo, tafakari kwa akili yako ya kawaida
 
Kuhudumia Wanawake ilikuja Baada ya kuzuka wanaume wasiojiamini, mara nyingi sura personal na madomo zege.
Ila kikawaida hakuna msamiati wa kuhudumia kwenye familia ya Watu wanaopendana
Hakika mkuu umeliweka vyema kabisa
 
Mkuu,
Zama Hizi, ukiwa mwanaume mahusiano lazima uyatengee bajeti inagoma, Bora kanunue kimboka.

Hakuna KE atakaekupa uvungu bure.

Hata ukikaza fuvu asipomhudumia leo

Kesho utapigwa tukio kufidia ya nyuma.

Mahusiano yamegeuka biashara

That's why wazee wa mteremko wao ulenga pa kulelewa, wengine wameleft group kabisa
 
Mkuu,
Zama Hizi, ukiwa mwanaume mahusiano lazima uyatengee bajeti inagoma, Bora kanunue kimboka.

Hakuna KE atakaekupa uvungu bure.

Hata ukikaza fuvu asipomhudumia leo

Kesho utapigwa tukio kufidia ya nyuma.

Mahusiano yamegeuka biashara

That's why
wazee wa mteremko wao ulenga pa kulelewa, wengine wameleft group kabisa
Kwa kifupi hawauzi na wala hawatoi bure, akili kichwani kwako.
 
Wanaumeeee....Mpo tayari kuhudumiwa?????
Wanaokubali waseme ndiooooo.!!
Hao ni Marioo siyo wanaume, ukitamani kuhudumiwa ni mwanzo wa kutamani kuolewa kabisa baadaye unaleft group ili ule kwa ulaini.

Madhara ya kutokuwa na jando na unyago ndio haya sasa vijana wameanza kutamani uwanamke wale kwa mseleleko.

Mungu atusuru na kizazi hiki ni hasara tupu.
 
Wasalaam wana JF

Mwanadamu amepewa akili ili imsaidie kuhoji na kuboresha maisha yake. Ikiwa kama utaruhusu akili yako ifanye kazi, bila kutingwa na influeence nyingine, kama mapokeo, mazoea na sheria basi ni vyema tuhoji kwanini tuwahudumie wanawake?

Kwa kuanza tafakarii hii lazima tujue sisi, binadanu ni wanyama, je wanyama wenzetu wanafanyaje (hapa tuna benchmark). Simba ambao wako on top of the food chain wanaweza wakawa ni mfano mzuri. Kimsingi, hawafanyi hivyo.

Sasa sisi binabamu huu upuuzi, tumeutoa wapi?

Pengine tumeshindwa ku-control ashki zetu.

labda ni issue ya demand and supply.

labda ni issue ya competition.

Labda ni issue ya kuwa possessive.

Kimsingi, jambo hili haliingi aklini, inakuaje mtu mzima akae tu, asifanye kazi alafu mtu mwingine afanye kazi na amuhudumie. Akili ya kawaida inakataa. Kuna vitu vingi sana katika struggles za mwanadamu vimewekwa kipuuzi kuchochea uzembe na uvivu. Tafakari, chukua hatua.

Sizani kama kuna mwenye akili atakubaliana na wewe.

Na hata sijuwi uko Dunia ya ngapi, maisha ya sasa ni wewe mwenyewe kuamua.

Kama unaona tabu kuhudumua basi tafuta mwanamke wa 50/50.

Mnapeana zamu za kupika. kulea, kufua nguo.

Na saivi wanawake nao wanapiginuabhaki yao, wanaume nao wanapaswa kubeba mimba ili kusaidiana majukumu, cos haiwezekani Umpe binti wa watu mimba aweke maisha yake hatari alafu unaona tabu kutoa matumizi.

Yaan unataka umpe mtoto wa watu mimba, akulele watoto, apike alafu unaona tabu kumuhudumia.

Kama unaona tabu basi tafuta wanawake wamefeminist ni wengi, kila kitu pasu, bado tu mwanaume kubeba mimba, maana na wao ndo wanachokitaka.
 
Hata ndege wote baba anajilisha mama anahangaika na familia.

Me tuliumbwa tupitie shurba ila tule bata tukizipata ila ke ni shurba mwanzo mwenga. Sahivi tu system imetwistiwa kijanja

Inategemea maana Simba (Mkuu wa Pori) mwenye kuleta chakula cha familia ni Simba Jike.
Na walivyo na adabu wakishaenda kutafuta chakula wanantengea Mume wao kwanza aleee ashibe kinachobaki Ndiyo huchukua kula na watoto.

Mwenyezi Mungu ni zaidi ya Fundi na Mhandisi
 
Na wanawake wanadai kabisa kuhudumiwa kama vile ni haki yao, sijui huu ujinga wametoa wapi...

Ila wewe kumzalisha unaona ni haki yako.
Hvi mtu anaekupikia kukuzalia na kujulelea watotot ndo unaona shida kumuhudumia.
Hiyo ni haki yake.

Nyinyi ndo vijana manafanya wanawake Feminists waendelee kuongezekana maana na wao wanadai wanaume na wao wanapaswa kubeba mimba ili haki iwe sana.

Je utaweza?
Achane hizo Neno Mwanaume inamaana kubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom